Recent content by My boo

  1. My boo

    Uzi wa vyakula tu

    Biriani
  2. My boo

    Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

    Hilo ni jukumu lako mana ni mke wako but the moment utakapomwambia nisamehe bac ataona unamuogopa just chill
  3. My boo

    Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

    Ukimuonesha tu kua umejutia hicho kite do bac atakupanda kichwan zaidi
  4. My boo

    Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

    Kitu kizuri cha kuepusha mwanamke kukupandisha hasira just ignore her akianza kisirani Mpishi tu abaki rudi akishakua sawa
  5. My boo

    Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Hata ww ukienda Zanzibar ukiomba utambulisho wa mzanzbar mkaazi unapewa bila kusita kama tu umekidhi vigezo Iła haiondoi sofa ya wa kuwa mtanzania kuna haki zinakosekana tu Kwa raia kama hana utambulisho wa uzanzibari ikiwemo baadhi ya kazi
  6. My boo

    Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Kwa uzoefu wangu mm wa niliezaliwa na kuish Zanzibar mtu yeyote ambae ni mzaliwa wa Zanzibar ama ameshaishi zaidi ya miaka mitano bać tayari ni mzanzibar na ana haki ya kupewa kitambulisho cha mzanzibar mkaazi regardless wazaz wake hawaishi Zanzibar sijajua kwenye siasa ipoje Iła kwa Hussein...
  7. My boo

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Yeah mchawi ni pesa tu iwe kijijin iwe mjini anapata na kama hataki stress zaid atafute wazee anaojuana nao vijijin kuwaomna kua anahitaj mke wazee waingie kazini wakiona ana maisha mazur na tabia njema atataftiwa mke wa chaguo łąkę manake mzazi akijua mtoto wake haendi kuhangaika njaa wala...
  8. My boo

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Kama uko vizuri kifedha utapata🙏🏼
  9. My boo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Bado mnaitana babe et umehide neno gani hapo na unachat nae kwa kumbembeleza I can smell something fishy utamuacha mtanga umrudie huyo🤭
  10. My boo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Shukran na pole kwa yote pia kwa Ushaur kata mawasiliano na mercy ufanye umsahau ili usonge mbele Chengine nifundshe kutumia hii version mpya ya JF kiukwel inanisumbua sana ingawa mimi ni mpenz tu msomaji wa JF sio mchangiaji sanaaa ila nowadays napata shida nikiclick quote sion option ya type...
  11. My boo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Mbona hujamaliza story unatuacha na masual Toka Muda huo upo single ama umekutana na mwengne Umepata kaz au hujapata na mercy kazi amepata Km una demu kwann uendelee kuwasiliana na mercy km huna je hujapata ama umedecide ku cool off kwnza au ndio umechukizwa Na je mahitaj ya mtoto doctor...
  12. My boo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    🥳🥳 baby shower🥳
  13. My boo

    Naomba kujua sifa za sufuria za non stick

    Zina kazi kuzitambua kwa macho hasa kwenye picha na hatujui zilkuwa za bei gani hizo zako manake sio non stick zote zina teflon kama uko na box zake uangalie wwmeandikaje details za kutumia hasa kwnye temperature za teflon sana zinakua na limit ya heat kwenye kupikia je uko na box tuone
Back
Top Bottom