Recent content by mwobho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jaji Mutungi katika kashfa ya kutafuna milioni 668

    shamba la bwana heri na mbuzi wa bwana heri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro,CHADEMA; Tatizo la CUF sio Mutungi,Tatizo ni Katiba ya CUF

    Mkutano wa Blue Pearl wote tuliona bwana. Unawezaje kumzuia kuingia Mkutanoni mtu ambaye zaidi ya 70% ya wajumbe wanamuhitaji aje kujieleza? .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro,CHADEMA; Tatizo la CUF sio Mutungi,Tatizo ni Katiba ya CUF

    Nafikiri analenga kuyamaliza kiungwana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mkaguzi NSSF na Maoni ya Kamati ya Bunge (PAC)

    hahahahaha
  5. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    tanzania yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mkaguzi NSSF na Maoni ya Kamati ya Bunge (PAC)

    mambo yote sasa hadharani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na CHADEMA wanaweweseka kivuli cha Zitto Kabwe?

    unao ushahidi wa ripoti za CAG au taarifa ya NSSF kwa PAC?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na CHADEMA wanaweweseka kivuli cha Zitto Kabwe?

    utetezi imara unatakiwa uwaje?.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na CHADEMA wanaweweseka kivuli cha Zitto Kabwe?

    sasa viwakamate wote
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na CHADEMA wanaweweseka kivuli cha Zitto Kabwe?

    hahaha. watakuvamia mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mkaguzi NSSF na Maoni ya Kamati ya Bunge (PAC)

    Taarifa ya CAG kuhusu NSSF imetoka. Taarifa hiyo ya Ukaguzi uliofanywa na kampuni ya Ernest and Young pia imeorodhesha Wajumbe wote wa Bodi akiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali. CAG ametoa hati safi isiyo na suala lolote la msisitizo kwa NSSF. Mwenyekiti wa bodi ya NSSF wa sasa, Prof. Sam...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka, walipeni Uhuru mishahara kwanza, achaneni na Zitto na Lowassa

    H Watafute keko madukani pale naonaga bendera zao.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyosema Ole Sendeka leo, Zitto tupe majibu!

    Nimesikiliza Video inayosambaa kwa Kasi Mtandaoni inayomuonyesha Karani na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akiwatuhumu Edward Lowassa wa CHADEMA na Zitto Kabwe kiongozi wa chama wa ACT WAZALENDO. pamoja na kumsikiliza zaidi ya mara tatu lakini sipata kuelewa alikuwa anajaribu kumaanisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka, walipeni Uhuru mishahara kwanza, achaneni na Zitto na Lowassa

    Hawezagi Kwan?
Back
Top Bottom