Tuwe Wakwelii...
Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal.
Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili:
Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
Machawa wamejikita kusifia mtu ambaye hakutoa jasho leo.
Wamejikita kumsifu Shibiki mwenzetu, mzalendo mwenzetu.
Mimi naelekeza sifa zote kwa wavuja jasho wetu waliokuwa wakisimamiwa na wataalamu
Hemed Morocco
Juma Mgunda
Jamhuri Julio Kiwelu
Na Nahodha wa jahazi akiwa Mbwana Samata...
CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi.
Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu.
Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli...
Hawa wachezaji wamelegea kuliko hata Waarabu.
Viongozi acheni kutumia pesa yetu hovyo hovyo kutuletea wachezaji nyoronyoro hawa.
Kweli naanza kuamini kwenye ligi kuna kununua matokeo.
Kocha mmoja kufundisha timu mbili ligi moja kwa wakati mmoja kivyetuvyetu.
Timu kukosa golikipa na kumtumia mchezaji wa ndani kama kipa kivyetuvyetu.
Kosa moja kutendwa na watu wawili wanaosimamia na mtu mmoja mwingine akaadhibiwa na mwingine kuachwa kivyetuvyetu.
Halafu anakuja mtu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.