popote pale mnaweza kukutana na kujenga uhusiano tena wa milele. watu wanaotumia mitandao ni wale wale tunaokutana nao makazini, kanisani, misikitini , kwenye magari nk. so si dhambi kukutana kwenye jf, fb ,nk. kama utakutana na mtu feki, then hata kama ungekutana naye kwenu bado angekuwa feki...