Recent content by Mwl. Kalolo

  1. Mwl. Kalolo

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Lowassa jembe, jembe, jembe kweli
  2. Mwl. Kalolo

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 23 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge kwa sura ya 1 & 6

    :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:...Mh! Katika majadiliano yaliyoendelea leo asubuhi ndani ya mjengo kule Dodoma kunako bunge la katiba, katika hali isiyotegemewa, kiongozi wa muda mrefu ambaye ni mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi, mh. Capt. John Komba leo hii ametoa kauli...
  3. Mwl. Kalolo

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema ambaye alivuliwa ubunge wa jimbo hilo kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi na za kibaguzi, leo hii amerudishiwa nafasi yake ya ubunge wa Arusha mjini baada ya rufaa yake kuwa na mashiko. Hukumu hiyo imetolewa leo hii katika mahakama ya rufaa...
  4. Mwl. Kalolo

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Jana mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya mwandishi wa habari wa channel ten David Mwangosi, PC PACIFICUS CLEOPHASE SIMON(23) alifikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili. Hata hivyo mtuhumiwa hakutakiwa kujibu chochote kwa kile kilichodaiwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa...
  5. Mwl. Kalolo

    Waziri Nchimbi hakuvamia kwa bahati mbaya maandamano ya waandishi wa habari leo Jangwani

    Jana waandishi wa habari katika maeneo mbalimbali ya nchi waliandamana kulaani mauaji ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi yaliyotekelezwa hivi karibuni na jeshi la polisi mkoani Iringa lililo chini ya wizara inayoongozwa na waziri Emanuel Nchimbi. Katika jiji la Dar es salaam, maandamano hayo...
  6. Mwl. Kalolo

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    tumepata mafanikio makubwa sana kwa safari za rais. alikuwa rais wa kwanza afrika kuonana na presida Obama, pengine alituongezea umaarufu duniani
Back
Top Bottom