Wewe umewaita Wasaka Utawala yaani Wasakatonge,Mimi Nawaita UKAWA ni wachumia tumbo. Tena wengine wenye midomo michafu wamesema umeteleza,Mimi nasema umewapa elimu ya bure tena wamekuelewa bali wanajihami tu baada ya kuonekana ni Wasakatonge tu yaani wachumia tumbo. Leo wanagawana vyeo eti Rais...
Maazimio ya Mkutano wa Tatu wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Tanzania Uliofanyika Jumamosi Tarehe 25 Oktoba 2014 katika Hoteli ya Vina Jijini Dar es Salaam
Kamati Kuu ya ACT-Tanzania ilifanya mkutano wake wa tatu siku ya Jumamosi tarehe 25 Oktoba 2014 katika Hoteli ya Vina Jijini Dar es Salaam...
Soko kuu la Urambo Mkoani Tabora linazidi kuteketea kwa moto muda huu,chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme ambayo imetokea katika soko hili, mpaka sasa hakuna kikosi cha zima moto wala askari polisi aliyefika katika eneo la tukio, japo wananchi wanajaribu kuuzima moto pasipo na mafanikio.
UKAWA WAMMWAGIA MAPESA JAJI WARIOBA ILI ASIHUDHURIE SHEREHE ZA KUKABIDHIWA RASIMU PENDEKEZWA KWA JK NA SHEIN. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba na wajumbe wake hawatahudhuria sherehe za kukabidhiwa Rasimu ya Katiba pendekezwa mjini Dodoma.Taarifa zimebainisha kuwa...
Mtatengeneza sana uongo!! Huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote!! Bali mtawadanganya wachache kwa muda mchache.Hongera Mwami Ruyagwa ZITTO KABWE.
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA)
Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.