Recent content by Mwl DEBETA

  1. M

    Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

    Mtoa taarifa acha upotoshaji wewe,Kwamba wilaya haina Hospital ya Wilaya huu ni uongo.Ipo Hospital kubwa na yenye hadhi ya hali ya juu pengine tofauti na Wilaya nyinginezo.Sema tu hospital hiyo ni designated kwa maana ni ya Kanisa na inaendeshwa na Serikali.Kwa kifupi Hospital ipo,tena si moja...
  2. M

    Hivi Dr. Charles Kimei ndio mmiliki wa CRDB?

    Ukabila sawa,lakini ya kujiuliza wana sifa zinazofit na madaraka/majukumu waliyopewa au ni Vilaza? Je umetumika utaratibu wa Kuwarecruit? Kama ndiyo shida zetu/zako hapo ni nini? Hayo yatakuwa majungu unaposema ni ukabila ... Kumbuka Mcheza kwao hutunzwa,Mla na wakwao ndiye..... Lakini pia...
  3. M

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Pole sana Dada,Maisha ni zawadi na mapito. Kwanza kabisa jitulize,acha sana kulazimisha NDOA.Hili la Ndoa ni baraka na zawadi kutoka kwa Mungu. 1.Badili approach ya kumuomba Mungu kwa tamanio la kimwili na Akili yako.Mungu anamjua kila mmoja kabla ya kuzaliwa au kutungwa mimba.biblia inasema...
Back
Top Bottom