Recent content by Mwl Athumani Ramadhani

  1. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    KAZI pekee inayoheshimika ni siasa hasa ubunge,uwaziri na n.k Hakuna KAZI ya professional hapa tz inayolipa vizuri HADI mhusika akajisikia analipwa vizuri mshahara labda mapato na magendo yaliyo nje ya mfumo lakini kuanzia mishahara na posho zote halali ni manung'uniko tu! Kama taifa na kama...
  2. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Tunaipenda sana coz tumefundisha wengi sana!! Siku hizi walimu tunasimamia kujifunza wanafunzi sio kufundisha!!? Yaani wizara inataka mwanafunzi awe competent sio awe lelemama! Yaani tuwe facilitators wa learning process na sio kuwa teacher!! Vijana wanajua vitabu na materials yalipo wape...
  3. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Kama mentality yako ndio hiyo hata huko uendapo utashindwa sana tu!! Jifunze kurahisisha kazi iwe rahisi!!
  4. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Mimi nimefundisha shule zote HADI hizo zenu!!!! Mwanafunzi ana uwezo wa kutafuta material na yanapatikana ! Kwani hiyo shule HAINA vitabu!!? Library hakuna!!? Mbona class activity natoa sana na zinajubiwa vizuri na discussion tunafanya na vijana tena wa form one kabisa mkuu!!? Hao...
  5. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

    Kama ni mzaliwa tu inatosha!! Kwani ambaye hapa ni kwao halisi ni nani!!?zaidi ya mgogo na mnyamwezi!!? Wengine wote tu wazaliwa tu tukitaka kujua mababu zetu walitoka wapi aiseh hapatoshi KABISA AAAAAAAH!!!
  6. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Ndio muongozo wa competence based curriculum mkuu!! Hawakuchomoka sababu ya kutojishughulisha tu!! We unataka kuvunja ubaoni Ili umuonyeshe nani kama unajua!!?
  7. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Elimu ya SASA sio kama ile ya zamani! Vitabu hamna wala internet no materials!!KWA sasa kuna topic GANI haina material!!? Kuna swali GANI halina materials kama sio kutaka kuonyesha u deepness usio na maana!!? Uwalimu wa leo ni competence based hakuna haja ya kujaza ubao mara tatu kama...
  8. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Tuache utani wakuu"Maisha Bora KWA KILA mtanzania"!! JAMAA alitutoa kimasomaso mjue!! Pale chuo kikuu bila mikopo kuboresha nani angeenda!!?ajira za kumwaga nani alibaki mtaani kama leo graduates wakilia lia!!? Mi nadhani kikwete was the Best sema watendaji walimuangusha pia!hasa kupiga dili...
  9. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    WALIM wa wapi hao!!? Bongo hii hii!!?
  10. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

    Well said,noted!
  11. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Advance!?masomo GANI hayo!? Usi complicate mambo kufundisha simple sana! TENA advance!unatumia mbinu gani!?au we BADO unatumia teacher centred Ili uwaonyeshe upo deep sio!!? Mi napiga chemistry na bios ordinary level and never suffocate!! Ugumu unaufanya wewe mwenyewe!!! "Easy does it"...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Swala la umeme ni la wote sio la CHAMA!! Utaifa MBELE hayo Mengine Baadae!
  13. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Wasabato Mama White adai aliambiwa na malaika sabato ni amri ya kipekee kuliko zote ni muhuri wa Mungu na haikupigiliwa misumari msalabani

    Mkuu Inatosha kuendelea kumuomba Mungu aliekuumba na alieumba mbingu na nchi!! Usitafute justification ya Mungu yupi anaefaa kuabudiwa kutoka kwa mtu,kikundi,vitabu au chanzo jingine zaidi ya uwepo wako wewe na unapokanyaga ardhini! Kwanini!!? KWASABABU na hao unaojifunza toka kwao nao ni...
  14. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe! Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!? HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
  15. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta?

    Inawezekana sio wajinga bali wanalazimishwa na mfumo kufuata mazoea tuliyojijengea nchini!!
Back
Top Bottom