Mimi nipo mkoani ila nachujua eeprom ambayo ni flash memory ya laptop hata utoe cmos battery miaka 20 bado password itakwepo labda kwa laptop za zamani ni sawa ukitoa cmos ukirudisha battery inafuta kila kitu ila laptop na desktop za sasa zina tumia eeprom inahifadhi data ya hiyo chip ya bios...
Huwezi kureset hiyo bios kikubwa hapo mpaka upate mtaalamu ambaye atakua na programmer device ambayo atatumia kuflash eprom ya hiyo laptop kwa rom nyingine ambayo haina password hapo utakua umetatua hilo tatizo sio jambo unaloweza kufanya mwenyewe tafuta mafundi wa laptop utapata msaada
Mkuu tupe huo muongozo wa kubadilisha password ya router ya TTCL itakua msaada mkubwa sana kwa wadau humu ndani maana ni tatizo hakuna anayejua na hata ukiwafata wanataka uwape customer namba ya router wakufanyie wenyewe kwa kweli utakua umesaidia sana kwa hilo.shukrani
Hapo kwenye Login user interface wamefanya costume kuna jina langu nimejaribu kuedit kidogo ili kulifuta huwezi kufanya lolote hata ukifanya hiyo router reset inarudi na settings hizo hizo kuna kitu hapo kwenye hiyo router kinaitwa spf ndio kinapokea fiber ni ndio ubongo wa hiyo router ndani ya...
Sio kwa TTcl wamebalisha password na user name unaweza kuingia kwenye router interface lakn password wamebadilisha zile zilizopo kwenye box huwezi kuingia nazo maana washabadilisha kama alivyosema mdau hapo ni kweli kila kitu lazima uwatafute na wanabadilishia ofisini kwao wala kwako hawafiki...
Sio sahihi mkuu speed ya downlaod na upload haziunganishwi zipo separate ndio maana ukifanya speed test itakupa ya download na upload mfano utashusha kwa speed ya 20mbps ila ukifanya upload ni 10mbps sio 30mbps ingekua hivyo mbona ingekua furaha sana 🤣🤣🤣
Kwa njia ya nguzo za umeme mkuu speed ni 19.2mbps kila wakati na upload ni 9.8mbps ping inategemea una ping wapi kwa hapa bongo inakua chini kwa marekani na ulaya inakua juu kidogo kwenye mia na kitu
Ttcl ipo vizuri kuliko airtel mfano airtel cha 70,000 ni 10mbps kwa ttcl ni 55,000 kwa 20mbps ukiangalia kwa ttcl ni speed mara mbili ya airtel na bei pia ni pungufu kama unaweza kupata ttcl ndio ni bora zaidi
Nilifanya maombi ttcl kama sio 2021 ni 2022 wakaja wakachek wakaondoka nikafatilia sana nikapigwa danadana nikachoka Airtel alivyokuja na router za 5g nikajichukulia moja ya malipo ya 70,000 kwa mwezi sasa cha ajabu juzi kati hapa hao ttcl wakanipigia wakaniuliza bado naitaji huduma ya internet...
Nadhani mtafute fundi akuangalizie maana shida inaweza kuwa button zake vumbi na unyevu zimestack ni za kusafisha au kubadilisha zile button zilizoko kwenye tv au kwenye decoder sio ishu remote hiyo ni hardware
Ushauri wa bure kama imekubali kuwaka basi fanya jitihada upeleke kwa fundi akaisafishe hiyo Tv au vinginevyo kifo chake kitakua kibaya sana.Maji huweka kutu kwenye electronics device kikubwa haikupata madhara ila hayo maji bila kwenda kusafishwa kwa dawa maalumu basi tegemea balaa kubwa ndani...
Siku hizi wamebadilika kidogo unapaswa kuchomeka usb tpye c hata headphone ndio itakubali download mode au recovery mode bila hivo haikubali naona kwenye note 9 na note 10 ndio zilivyo kwa sasa
Kwa alivyokua ameshika silaha na kuzimudu kuzitumia vizuri ni mtu mwenye mafunzo makubwa ya silaha swali kama alirukwa na akili bila kuwa na mafunzo angetumiaje hizo silaha je mafunzo hayo ya silaha ameyapata wapi.mswali ni mengi
Kuna swali hapa sijaona watu wakiliongea yule ndugu alikua anatumia silaha vizuri sana je alipata wapi mafunzo hayo kama ni mtu leo hii ameshika silaha hawezi kufanya yale ambayo tumeshuhudia kuna mengi yakuhoji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.