KATIBA MPYA INATENGENEZWA KWA MTUTU WA BUNDUKI!!!
Hali ya kisiasa katika nchi yetu kwa sasa ni tete kwa kiasi kikubwa. Nchi yetu sasa iko chini ya utawala wa kijeshi usiokuwa rasmi. Kila mahali katika makao makuu ya mikoa, wilaya na majimbo, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa na mabomu na...
Serikali 3 haziepukiki hata kama mkipitisha hiyo nya bungeni tutaendelea kudai katiba mpya hasahasa kwa mtu anaetegemea kugombea urais aweke sera ya katiba mpya kwenye ilani yake vinginevyo hatapita
Tuko Dodoma kula
posho tu - Mjumbe
Rasimu ya Katiba Mpya
Na Habel Chidawali, Mwananchi
Posted Ijumaa,Agosti22 2014 saa 11:7 AM
KWA UFUPI
Nawakumbusha watu kufuta matumaini ya
kupata Katiba Mpya, kinachojadiliwa hapa ni
mambo ya kulazimishana kila upande, sisi
wengine tunaona bora ya...
KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana Ametajwa kuwa ni mtu anayekwamisha kupatikana kwa muafaka kati ya Wajumbe wanaounda Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi UKAWA na Chama cha Mapinduzi CCM,baada ya kupanga mpango wa kuwazuia Wajumbe wa UKAWA,kutoonana na Rais Jakaya...
Msingi wa Katiba Mpya
Kuanza kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuna historia inayotokana na kumbukumbu ya michakato mitatu iliyokwama, Harakati hizo zilianza kujitokeza tangu mwaka 1992 kupitia Tume ya marehemu Jaji Francis Nyalali.Tume hiyo ilikuwa chini ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi...
Siku zote wadau wa elimu nimekuwa nawaambia kuwa shule yoyote inayokimbilia kuchuja wanafunzi kwa kisingizio cha uelewa mdogo wa wanafunzi wao wanawakosea adabu wazazi na wanafunzi hao . Hivi ni kweli kwamba mwalumu mzuri kazi yake ni kufundisha wanaojua tu ? na je shule za kata nani...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim amesema hakutarajia kusikia kauli za Rais Jakaya Kikwete alizozitoa bungeni kukosoa Rasimu Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa sababu walikuwa wanampa taarifa kwa kila hatua waliyokuwa wanafikia kabla ya kutoa rasimu hiyo.
Dk Salim alitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.