Recent content by Mwisaki

  1. Mwisaki

    TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Wamezima yoote hadi inaboa tumebaki na jamii forum tu.
  2. Mwisaki

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Kipindi cha uchumi wa kati ndio kipindi kigumu sana kwa upande wangu maana kila siku hali si shwari katika halmashauri ya mfuko wa suruali
  3. Mwisaki

    Wizara ya Afya: Dalili za corona Tanzania ni tofauti na nchi nyingine

    Hiyo ni covid-19 au itakua covid-20 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwisaki

    Ushauri: Nini cha kufanya ndani ya siku 7 zijazo

    Umesomeka mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mwisaki

    Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji, ni mkusanyiko wa watu na magari

    Uko sahihi mkuu ona kama Dodoma yaani ni upuuzi mtupu ....Dar ndio usiseme fika pale mwanyamala kwa kopa unaweza kupitapita vichoro ukajikuta unaingia chooni
  6. Mwisaki

    Ripoti ya UN: Jiji la Dar es Salaam linashika namba 7 katika majiji masikini duniani

    Uuwiiiii kama kweli ni Umoja wa Mataifa waliofanya utafiti huo basi wametupendelea sisi ni wa 9 hivi ...ila squatters ya makaazi poa
  7. Mwisaki

    ZANZIBAR: Yanga SC yang'oka Mapinduzi Cup baada ya Chirwa kumkabidhi mpira kipa

    Watabanaweeee ila watatoka tu hata mwa mikwaju au bakora pumbavu zaoo mi naomba wauza ngada wapigweeeee
  8. Mwisaki

    RC Makonda na balozi wa China waweka jiwe la msingi ujenzi wa uwanja wa bandari, kugharimu $ 450,000

    Makaratasi ya vyeti ndio nini watu wanataka utendaji vyeti kitu gani bhana ....haya chukua vyeti vyako vikajenge hata shule tuone
  9. Mwisaki

    RC Makonda na balozi wa China waweka jiwe la msingi ujenzi wa uwanja wa bandari, kugharimu $ 450,000

    Vyeti havina mantiki kaka hatutaki vyeti tunataka practical ....hata ukiwa Na vyeti utendaji wako ukiwa hovyo ni sawa Na O tu ..walio na vyeti wengi ni hovyo tu hawaajiriki yaani hawana weledi
  10. Mwisaki

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Leo mwenyekiti wa chadema huko Tabora kawataka wanachadema na watu woote kuungana na Rais Magufuri katka harakati zake za hapa kazi tu je nayeye afanyweje? Siasa iko tumboni mwako tu mkuu
  11. Mwisaki

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Hata wewe una haki ya kuhama bila kujadiliwa mkuu hiyo ndiyo democratic system..
  12. Mwisaki

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Chama sio kabila mtu anayo haki ya kuhama chama chochote bila kuvunja sheria
  13. Mwisaki

    Magufuli aagiza Stendi isiyo na kibali cha SUMATRA itumike. Adai hakuna cha SUMATRA, yeye ndo boss

    Umemnukuuu vibaya Rais kaseme kama ...wapo dar au mbinguni ..hajasema wapo mbinguni ..narudia tena kasema kama...maana ya kusema kama yaani hana uhakika wapi waliko....
  14. Mwisaki

    Magufuli aagiza Stendi isiyo na kibali cha SUMATRA itumike. Adai hakuna cha SUMATRA, yeye ndo boss

    Tupo pamoja ktk hili mara nyingi tu tumeona wakimaliza miradi mbalimbali kisha inakaa miaka kenda bila matumizi ...mi nilienda kijiji kimoja nikakuta kituo cha afya kimeisha na kina miaka zaidi ya mitatu hakijaanza kufanya kazi mpaka leo.......ngoja ngoja...yaumiza.....
  15. Mwisaki

    Magufuli aagiza Stendi isiyo na kibali cha SUMATRA itumike. Adai hakuna cha SUMATRA, yeye ndo boss

    Kwa asiye kubali kasi ya huyu MAGUFULI huyo ni fisadi maana hata Kiongozi wa Chadema kamkubali wewe je?
Back
Top Bottom