Oooh kumbe hapo sawa! Nimekuelewa ipasavyo ila bado Nina swali la nyongeza je Kuna option ya mwajiri ku reject Ombi la vacancy request? Coz nasikia nwajur huatakiwi kuzuia Ombi la mtumishi, Sasa hii imekaaje mana umesema mwajiri alilizia Ombi kwenda destination organization?
Ndio nimeelewa Yan ndo washakupa huyo nafasi kwa kuaccept ktk mfumo,, kwahy kwann useme mwajiri wako hawezi kukuzuia? Ndo nataka kuelewa perspective hii
Kulingana na waraka wa katibu mkuu km mkuu wa taasisi hatapitisha kwa wakati mpka imeenda next stage itahesabika kwamba Ombi hilo amelilizia. Kwahy hapo kuwa na amani
Imeenda kwa destination organization tayari,,, hivi Sasa inaenda yenyewe kwahy inaandika Nini kwenye huo mfumo? Mana mdimamizi wa KAZI hajatia neno ko imeenda mbele yenyewe? Ebu nipe experience kaka
Habari! Umeongea vema mnoo,, kwasasa mfumo unaruhusu kwa kwenda ikiwa muhusika hajaifanyia kazi,,, swali langu je kwa upande huu wa vacancy request na kwao Kuna time limit ikiwa mkuu wa taasisi hajaifanyia kazi inaenda kwa destination organization?
Hakuna taaluma pasi na maadili ndio maana utasikia umekiuka maadli ya taaluma yako. Imagine binti yako anarudi nyumbani kwa kupewa ujauzito na mwalimu wake je kama mzazi utajisikiaje? Kwanza kusema maadili na taaluma haviendani kusingekuwa na dressing Code kwa wanafunzina na watumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.