Recent content by mwinuka2023

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mateso ajira mpya kupata hela ya kujikimu

    Wakuu kwema Kama kichwa Cha mada kilivyo jieleza hapo naomba niwasogee hapa jinsi mambo yalivyo kwa Hawa wenzetu wa ajira mpya. Nimekuwa nilifatilia mjadala sehem mbalimbali za wenzetu wa ajira mpya wengi wakilalamika kutopewa hela ya kujikimu ambayo ni haki yao. Mwanzo nilidhani labda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Ni kweli kabisa me nilipata za msaada stakeys dodoma na sijawah kuzitumia hata kdg maana hazikunifaa na nashukuru pia daktar alinishauri nisitumie hata kdg hazinifai zitaniharibu zile ni kwajili ya viziwi ambayo hawasikii kabisa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Ni za starkey au zipoje kama unaweza nitumie picha inbox wasap 0654204670
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Nakubalia na jamaa kwamba tatizo linaweza kupungua kabisa mfano mimi nilipogundua nina shida hii nilikuwa naishi kwa wasiwasi na mawazo mnoo hali iliyopolekea kama tatizo kuzidi kwasababu ya hofu mwishonwa siku nikaamua kulikubali na kuwa na amani moyoni bas likatulia kabisa na ikawa ni ngumu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Shukran saa kaka umenitia moyo nitafanyia kazi point ya mwisho hiyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Karibu mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Ngoja tufatilie mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Shukran sana mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Ngoja nifatilie mkuu tutajuzana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Limenikuta gafla ukubwani mwaka 2015 nikiwa chuoni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Amina ubarikiwe sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Pole sana ndugu tumtumaini bwana katika kila jambo na tutavuka salama
  13. M

  14. M

    Kwa maelezo ya daktari alinambia zipo ila no gharama mnoo hivo sikufatilia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Asante sana mkuu nimefarijika Mungu atupiganie
Back
Top Bottom