tufike hatua tufahamu unyeti na mipaka ya tukio. huwezi ukasema kuwa ule msafara wa lowassa ulikuwa unadhumuni la msiba kama ni kweli kwann wakusanyane namna ile harafu ustaarabu ungekuwaje na watanzania wangewachukuliaje ktk eneo la msiba tuache kugeuza msiba au maiti kuwa mtaji wa siasa
hali ni ngumu ukawa acha mpasuko wa vyama bado hata chadema wanampasuko mkubwa kundi la zuber linakuwa kwa kasi na akifikia malengo anahama chadema ndio mwisho wao.tatizo cdm wao hujihis ni wa safi kuliko wenzao kumbe nyani haoni kundule
je unafikiri ni nani anayetoa bila kuwaza faida hivyo yeyote anae tumia pesa zake kusaidia ana lengo la kujinufaisha mwenyewe.kama hivyo ndivyo basi hata wapinzani watumiayo njia hiyo wana lengo hilo jiulize kuhusu mgombea unae muamin na utafakari juu ya kampeni zake kama zinacheza na huo...
uadilifu wa mtu ndio tuuangalie wananchi wenzangu hata kama tunabadili chama kwa kutaka tunayofikiri yatakuwa bado uwezekanp wa kuyakosa upo kutokana na uadilifu wa kiongozi mwenyewe. kwasababu hakuna chama chenye sera mbovu ukitaka kujua hilo tafuta au angalia sera hata za TLP utagundua hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.