Mafisadi nao wakitoa misaada tukahoji tutaeleweka?

Mafisadi nao wakitoa misaada tukahoji tutaeleweka?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,753
Reaction score
165,265
Hili ndio swali nilalojiuliza hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.

Kwa mfano, wenye mabilioni ya Escrow wakiamua kujenga vituo vya afya na kisha kuvikabidhi kwa wananchi wao tutahoji?

Ni watanzania wangapi watakaojali kama hela iliyotumika ni safi au haramu?

This is another new challenge in the forthcomming general election.

Wenye kutafakari watanielewa;wale wa kukurupuka wataniponda.

Hata Yesu alijua nini kitakachokuja kumpata kwa matendo yake lakini alisimama kidete mpaka mwisho na maandiko yakatimia.
 
Tuanze na fisadi Mbowe na ule mgawo wake wa ESCROW leo amekabidhi ambulance.
 
Toka lini fisadi akatumia hela aliyotuibia kufanyia mambo ya faida kwetu wananchi zaidi ya kufaidika yeye na familia yake, na kutumia hela hizo hizo kuwaandaa watoto wao kuja kutuubia tena???????
mafisadi wa Tanzania NI WABINAFSI ndio maana tuna hasira nao, waibe hela wapeleke BABLO JOHNSON wakati shule za kata ambazo mtoto wa maskini anasoma, wanatukamua sie tuchangie maabara. -pa-m.ba-v-u hata wanaowatetea.
 
je unafikiri ni nani anayetoa bila kuwaza faida hivyo yeyote anae tumia pesa zake kusaidia ana lengo la kujinufaisha mwenyewe.kama hivyo ndivyo basi hata wapinzani watumiayo njia hiyo wana lengo hilo jiulize kuhusu mgombea unae muamin na utafakari juu ya kampeni zake kama zinacheza na huo mchakato au laah .kwa haraka hakuna aliye na kampeni halali ci sisiem wala upinzan kumbe walio wapinzani wanaweza kulaumu kwa sababu hawaja pata fursa na wao.lakini sitetei ufisadi na wawajibishwe ili kukomesha lakini kubadili chama sio mbadala wa tatizo(u must to think twice)
 
Hili ndio swali nilalojiuliza hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.

Kwa mfano, wenye mabilioni ya Escrow wakiamua kujenga vituo vya afya na kisha kuvikabidhi kwa wananchi wao tutahoji?

Ni watanzania wangapi watakaojali kama hela iliyotumika ni safi au haramu?

This is another new challenge in the forthcomming general election.

Wenye kutafakari watanielewa;wale wa kukurupuka wataniponda.

Hata Yesu alijua nini kitakachokuja kumpata kwa matendo yake lakini alisimama kidete mpaka mwisho na maandiko yakatimia.

Acha umbulula weweee!!! Siku zote ela ni ela tu haijalishi ni Tsh. ngapi, kinachofanya fedha ionekane ni fedha ni namna yule mtu anavyoitoa, akiitoa kwa malengo ya yeye apokee kitu fulani hapo kuna kasoro, ila akiitoa kama msaada na nafsi yake haimsukumi kupokea kitu hapo huwa mtu mwema na anafaa hata kupewa nafasi. Jiulize fadha hiyohiyo hutolewa kanisani na ikaleta maendeleo mazuri ya kiroho, hiyohiyo hutolewa kwa mtu na ikaleta maafa, huo ndio ukweli na usitake kusema hawa mafisadi wakijenga hospitali watakuwa wema watataka wapate kitu kingine mbadala maana hata hiyo fedha watakayotoa nia kwa sababu ya msukumo wa watu baada ya kujulikana ni mafisadi ili iwasafishe na sio dhamila yao kutoa.Nawasilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom