Recent content by Mwingereza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa kusimamiwa na Waangalizi kutoka Vyama Vya Demokrasia Duniani

    Pesa za Abdul na mamake zitashinda. Kwanza nani kachukua fomu zaidi ya Alwatan aliyelambishwa asli?
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Nenda YouTube usikilize hotuba yake leo Iringa
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    She is hastening her own demise
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaleyale ya awamu ileeee yamerudi

    Hiya TanzaniaLeaks inakosesha watt usingizi sana. Huo mtandao nadhani ni watu wa NDANI ya serikali maana taarifa zao zinaogopesha na so deep
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    So much outcry about Mr. Mbowe, what does it mean?
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Mbowe msaliti. Ajiuzulu CDM aende CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika muda tuseme kila kitu kwa uwazi kwamba, Chadema ina wazalendo wachache. Wengine wote wachumia tumbo na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wadai kudhalilishwa na Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa mambo ya Nje. Mobeto na Shilole wapewa nafasi za Waandishi

    Wahalilishwe tu maana wamezidi uchawa badala ya taaluma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Hapana. Let's call a spade a spade
  12. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe is a disgrace selfish individual.
  13. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
Back
Top Bottom