duuu watanzania sasa tumezidi majungu, tumekuwa watu wa kusikiliza kitu hata kwa mwendawazimu unaamini bila kutafiti, yaan wewe ulishindwa kuangalia hata majina ubavuni mwa gari, au hata bima na hata kadi za magari ukajihakiki. Hao watu wa Custom kama walikuwa wanapitisha tu bila kulipiwa...