Recent content by mwili wa pesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wa TAZARA Mlimba na Chita wanajiona miungu watu

    Wafanyakazi hawa wa TAZARA hawajali kabisa wateja, wanawatukana na kuwafukuza kama watoto. Jana nimeenda TAZARA kwa ajili ya 'booking' ya mzigo, nimefika pale ofisi za mzigo TAZARA Mlimba-Morogoro hakukuwa na mtu. Nikaanza kuita "Mwenyewe...mwenyewe" zaidi ya mara mbili, ikaitika sauti unataka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Form 5&6 mwaka mmoja au chuo niamue lipi?

    Kwa maneno haya PGA af nenda degree
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

    Agiza ntalipa mkuu
Back
Top Bottom