Recent content by Mwijarubi

  1. Mwijarubi

    JamiiForums Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mambo muhimu kwa taifa letu kwanza ni kukuataa viongozi wategemezi maana hao wanauza nchi nataka nikuambie wewe myanzania Tanzania kwa sasa si huru tena maana tunatawaliwa na ndio maana budget yetu inategemee wageni vijana wasomi wapo ajira hazipatikani maana wawekezaji wanakuja na watu wao...
  2. Mwijarubi

    JamiiForums Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mie nashindwa kuelewa umuhimu wa Rasimu maana imeshindwa kuelekea kwenye lengo la serikali moja na sasa kutaka kuongeza serikali hii si haki kwa watanzania. Lazima tutambue vipaumbele vya taifa letu ni vyema rasimu ingejikita zaidi kuhusu maswala ya kilimo na kuangalia ni jinsi gani watanzania...
  3. Mwijarubi

    JamiiForums Hii wiki mbaya kwa mashabiki wa Yanga

    pole sana ndilo soka la bongo.
  4. Mwijarubi

    JamiiForums Mbeya: Ajali mbaya yatokea maeneo ya Igurusi; watu watano wafariki hapohapo

    Ee Mungu tuepushe na ajali zinazogharimu maisha na kuacha ulemavu wa kudumu. poleni mliopoteza ndugu, jamaa na maarafiki katika ajari hiyo.
Back
Top Bottom