MILCAH28
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 1,140
- 328
Kuna mambo ya kipimbi nayasikia sikia redioni na
mtandaoni yanikwaza ile mbaya kuhusu hii Yanga
yetu.
1. Yanga kuvunja mkataba na Okwi.
2. Okwi kwenda Simba.
3. Jaja hajui soka na kweli nimemuona..
4. Okwi kashinda kesi
5. Manji kaenda Fifa
6. Ofisa habari Kufukuzwa na kuajiriwa Jerry Muro awe
msemaji wa Yanga. Sijapenda.
7. Foward ya Yanga butu mno
8. Nimesikia Beki hazielewani... Yondan na Cannavaro
wamechomesha timu ya Taifa.
9. Ngassa amegoma kucheza Yanga mpaka alipwe
mafao yake kama Okwi.
10. Jembe langu Ngassa amepandishwa mahakamani na
mkewe bi Latifa akitaka mgao wa mali baada ya
kuachana. Wanamtia nuksi
11. Coutinho ameumia atakuwa nje kwa mda mrefu.
12. Naskia Simba wako vizuri. Sijapenda nilijua
watapoteana kama mwaka jana.
Azam nao ndio balaaa
13........
Wiki mbovu sana hii