Ninachokijua nikuwa serikali yetu haina dini na inajali haswa utu. Tz supports the course of Palestinians. Wayahudi kama wanaleta misaada yao tutashukuru
Nkobe, kinachonishangaza nikuona hata nchi za magharibi zipo kimya na mpaka sasa hawajachukua hatua yoyote . Hawaja washambulia kama walivyo washambulia Taliban Kyle Afghanistan . Tusubiri na tuone muda utatuambia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.