Recent content by Mwetenijr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Be honest uamuzi gani ungechukua katika incindent hii?

    "Akupigae ngumi ya jicho na wewe mpige ya sikio, akikuuliza unajionaje na wewe muulize unajisikiaje...." hicho ndo ambacho ningekifafanya....
  2. M

    JamiiForums Tanzania CARS ON SALE (THE SENIOR Jr. GENERAL SUPPLIES)

    Hii ni gari ya kwanza kati ya mawili THE SENIOR JUNIOR GENERAL SUPPLIES iliyo nayo sokoni. This is CARINA engine pamoja na vifaa vingine vyote bado vipo katika hali nzuri na haihitaji matengenezo yeyote makubwa. Gari ya pili ni Chaser Avante nayo pia ipo katika hali nzuri na haihitaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania The Senior Jr. General Supplies

    The Senior Jr. General Supplies ni kampuni ambayo imejikita katika uingiaji na uuzaji wa magari yaliyotumika na mapya (used and new cars) toka sehemu mbali mbali duniani hususani toka nchini Japan lakini pia uuzaji wa magari yaliyotumika ndani ya Tanzania Ukiwa na uhitaji wa kuagiza gari...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Maswali langu kwako ni; 1. Haumpend kwa sababu hisia zako hazipo tena kwake?! 2. Wakati wote huo anakufanyia yote hayo alikuwa anakufanyia which relatioship status?! Maoni yangu: kabla haujaanza kuleta hzo sababu zako za kujilazimisha na za KIPUUZI za kutaka kuachana naye, kama ambavyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Where are we heading 2 na his vurugu za udini, ni sisi wenyewe wananchi na viongozi we2 wa kidini 2 au nyuma yake kuna wengine wakubwa zaidi wanaoangalia maslah yao zaidi?!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dalili kumi za kukuonyesha kuwa mwenzi wako ana-cheat...

    Ooh I see thats very true...
Back
Top Bottom