The Senior Jr. General Supplies ni kampuni ambayo imejikita katika uingiaji na uuzaji wa magari yaliyotumika na mapya (used and new cars) toka sehemu mbali mbali duniani hususani toka nchini Japan lakini pia uuzaji wa magari yaliyotumika ndani ya Tanzania
Ukiwa na uhitaji wa kuagiza gari tutakuagizia kulingana na uchaguzi na uhitaji wako mteja katika bei halisi na halali katika soko kwa wakati huo.
Pia kwa wale wanaohitaji kuuza magari yao The Senior Jr. General Supplies ipo kwa ajili yako. Tutakutafutia mteja na kuwezesha mauzo ya gari yako kwa haraka sana.
THE SENIOR JUNIOR ni kampuni ya WATANZANIA, inayomilikiwa na WATANZANIA, na kufanya biashara katika mazingira ya WATANZAIA kwa viwango vya KIMATAIFA
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na
Mkurugenzi
Simu Na: 0713196379
Mweteni Jr.