Recent content by mwenyekt

  1. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    Ni smartphone tu jamani..je kama unataka kum-spy mwenye kinokia cha tochi unafanyaje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Omary Alhad wa msikiti wa Kichangani Magomeni, afariki dunia

    Inalilahi wainailaihi raahiuun.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya TVs inauzwa

    Simu yangu ni 0712 446801
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya TVs inauzwa

    Wadau nauza bajaji yangu aina ya TVs no; T279 CRW inafanya kazi inapaki tegeta nyuki bei milioni nne (4,000,0000/=)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu sheria ya kazi

    Nashukuru kwa maoni, ushauri wenu wadau.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu sheria ya kazi

    Nilifanya kazi katika taasisi moja ya serikali kwa Mara ya kwanza nilipewa mkataba wa miezi mitatu, baada ya kuisha nikaongezwa miezi sita. Hali iliendelea hivyo kila baada ya miezi sita niliongezwa tena miezi sita mpaka imefikia miaka minne na miezi minne kazini baada ya mkataba wa mwisho...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu juice ya miwa

    Hizo sehemu unazoziita classic utaenda nunua juice kwa tsh. 3000 na matokeo yake ukapate fleva ya muwa baada ya muwa wenyewe, maana muwa mmoja utaachanganywa na Lita 20 za maji na sukari nyingii uswazi ndio kila kitu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

    Bila kutoa taarifa iliyokamilika ujumbe rasmi unakuwa haujafika kwa walengwa, mtoa mada fafanua zaidi.
Back
Top Bottom