Recent content by Mwenezi ACT

  1. M

    Tanzania Bureau of Standard (TBS)

    Hivi karibuni pamekuwepo na malalamiko mengi sana ya kutapeliwa kwa baadhi ya watanzania wanaoshirikiana na makampuni ya nje kibiashara, ni changmoto ambayo imekuwa ikiwakumba raia wengi wa Tanzania juu ya makampuni ya kitapeli ya kigeni wanayo fanya nayo biashara. Ni ukweli usuo na kificho...
  2. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    Elimu yangu ni kama ya Mwnyekiti................naomba unikumbushe Mwnekiti elimu yake ili nikujibu mkuu
  3. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    Chukua hiyo kama ulikuwa haujui, kwan Sabodo aliahidi kujenga makao makuu gani? alijua....
  4. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    cdm oyeeeeee......
  5. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    Kufa haifi kwani watu wamesha amua, wanasema ya jiani kwao ndiyo kumevunda kabisa
  6. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    Kweli hato kufa kwani inawatu walio amua kujitolea maisha yao kunenepesha mfuko....
  7. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    Kweli kuna watu wanapenda vibaya
  8. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    litabakia jengo tu, ngoja watu wajue ukweli
  9. M

    Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

    Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.
  10. M

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Haswaaaa kuwa wako kwenye SACCOS ni bora wafunge virago tu......
  11. M

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Kama mpo tayari njoo niwapangishe jamani...... ama kweli ukweli hapendwi
  12. M

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.
  13. M

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    CHADEMA hawakutaka kunipa nafasi
  14. M

    Watanzania wagumu kuelewa

    Hivi kuna sku CCM itaacha kuongozwa kiukoo? Naombeni msaada wenu....... naona mumo wa CCM katika uongozi hautofautini na CHADEMA labda CHADEMA wapo kikandazaidi........
  15. M

    Watanzania wagumu kuelewa

    Hivi kuna sku CCM iyaachwa kuongozwa kiukoo? Naombeni msaada wenu....... naona mumo wa CCM katika uongozi hautofautini na CHADEMA labda CHADEMA wapo kikandazaidi........
Back
Top Bottom