Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

Status
Not open for further replies.
Elimu yangu ni kama ya Mwnyekiti................naomba unikumbushe Mwnekiti elimu yake ili nikujibu mkuu
 
Elimu Yako Nikama Ya Mwenyekiti Kwa Hiyo! Au Haujui Kama Unamzidi Elimu Yule Tajili Wa Azam Endelea Kujivunia Na Kulingia Usomi Wako Huo
 
Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.

Sijui umekula maharage ya wapi?
 
"mimi dk.slaa ninasema hata mimi nimechoka sana,,sema jaman na umri wangu hu wa miaka sabin na nane ntaenda wapi mimi mbowe akinifkuza kwenye sacos yake na mkwe wake, nshamtukana sana nape mimi,nadhalilikauzeeni mimi wilbord,ntaenda wapi jaman watanzania nisamehen bure"...aliskika babu.slaa jana akilalamika huku machoz yakimtoka meng sana.
 
CDM inazidi kuwatagisha magamba, kila Sikh mnaanzisha vi-thread kuitangaza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom