Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

Kilicho nikimbiza chadema hiki hapa

Status
Not open for further replies.
Kufa haifi kwani watu wamesha amua, wanasema ya jiani kwao ndiyo kumevunda kabisa
 
Mwanaume mzima unakimbia ishu ndogo hivyo..jinga kabisa..nyinyo ndo mnakimbia familia mkipata challenge kidogo tu
 
Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.

Hukuwahi kuwa mwanasiasa,.....na hujitambui hata kwanini upo ulipo....unafuata tu upepo!
 
Mkuu waliambiwa wakbisha , kuwa CHADEMA ni biashara ya Mbowe and Family bado hadi leo watuu hawasituki.
Na hiyo ruzuku atakula vipi jengo lilkijengwa.

Hahaha nakumbuka ahadi ya Sabodo kujenga makao makuu ya Chadema lakini Ndoto yake ilizimwa kama mshumaa kuhepusha mgongano wa maslahi dhidi ya kale ka jengo ka ufipa. Ni sheeeda.
 
mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni saccos, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.

act imejenga ofisi ngapi mpaka sasa? Hela za mafisadi mnafanyia nini?
 
kweli nimeamini mtu mbumbu zaidi duniani anatokea Tanzania
 
Mwnyekiti amekuwa mbishi kujenga jengo la makao makuu. Nikachoka kulipa kodi kuchangia jengo lake. Hapo kweli nikaamini ile ni SACCOS, kama ni chama chenye maslahi kwa watanzania Mhe (...) mshaurini asichukue tena kodi.

Kweli wewe mwenezi
 
Mkuu waliambiwa wakbisha , kuwa CHADEMA ni biashara ya Mbowe and Family bado hadi leo watuu hawasituki.
Na hiyo ruzuku atakula vipi jengo lilkijengwa.
nitajie faida mbili tu za uongo ulizopata tangu uanze kuongopa .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom