MADARAJA YA KIWANGO CHA UFAULU SASA NI SAWA
Serikali ilitaja madaraja 1 hadi 5 kuwa yatumike kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne. Madaraja hayo ndio yaliyokaa vizuri.
Madaraja ya zamani yalikuwa yanatokana na alama ambazo ziko kwenye grafu iliyopinda kulia (skewed right). Hivyo grafu...

Sasa na nyie wananchi msiwe mambulula, mmeshafanya kosa la kwanza msirudie tena, mlichagua CCM mtu wao amewaibia, labda wana sera za Chukua Chako Mapema mtajuaje? Ni muda muafaka wa kutafakari mtu wa chama kingine kinachotoa upinzani wa kweli TZ na kumuweka agombeee.
Ndugu yangu Goodluck, Prof. Mukandala sio kwamba hafahamu hiyo rushwa, yeye ana fungu lake kwenye hayo makusanyo, sasa ni kiongozi gani usiyejua mambo yanayoendelea ndani ya taasisi yako na kuyafumbia macho kama hupewi mgawo? Prof. kama hutaweza kupiga vita rushwa hii tutaingilia kati, fanya sasa.
Wewe unaonyesha ulienda kimalaya kutafuta machangudoa, pale wasichana wameenda kusoma, kama unataka malaya wenzako nenda Dar Ustawi wa Jamii utawapata tena kwa bei rahisi.
TUME YA KUCHUNGUZA MATOKEO YA MITIHANI NI SAHIHI
​Taarifa kwa ufupi ya Tume ya kuchunguza matokeo ya mitihani iliyoteuliwa na Mh. Pinda, inaporipoti kuwa mitihani ilikuwa ni madudu na ilitayarishwa na watu wasio na sifa ni sahihi. Baadhi ya maprofesa waliojitokeza kuipinga tume hiyo...
TUME YA KUCHUNGUZA MATOKEO YA MITIHANI NI SAHIHI
Taarifa kwa ufupi ya Tume ya kuchunguza matokeo ya mitihani iliyoteuliwa na Mh. Pinda, inaporipoti kuwa mitihani ilikuwa ni madudu na ilitayarishwa na watu wasio na sifa ni sahihi. Baadhi ya maprofesa waliojitokeza kuipinga tume hiyo, mawazo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.