Recent content by mwendazake-ndago

  1. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    KIBOKO WEWE; UNA ARRIVE NA FULL TANK 😄😄😄😄😄😄
  2. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    MAJESTA URS 206 V8 PETROL AUTOMATIC GEAR +S = 8 GEARS MANUAL - AIR SUSPENSIONS
  3. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nipo Wakuu majukumu na safari za nje ya nchi kidogo zilikuwa kede kede. Ila nipo. Nissan Safari Ipo na Majesta ipo ni gari za safari. UKINUNUA GARI USIANGALIE CHA MWARABU; WEWE ANGALIA COMFORTABILITY YA GARI NA ULIIENJOY GARI HATA KAMA UNATUMIA MILLION KUTOKA DAR KWENDA ARUSHA - ISHU NI RAHA YA...
  4. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ni mimi huyo, nilikuwa nachomokaaaaa nawakata nawasubiria mbele nawakata tena nilitokea Tanga
  5. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nipo Mkuu. NAWADEKSHIA TU
  6. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nipo mkuu pilika ilika za kusaka mapene. Trip zinaendelea
  7. mwendazake-ndago

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

    Sijamuona Makamu wa rais leo pale mbele? Natafakari je hakupaswa kuwepo pale leo kama kawaida invyokuwaga?
  8. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hizi mm ndio nazipendaga pori kwa pori
  9. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nilipiga picha hii marekani nilivyoiona hii IST. Ila cha kushangaza yenyewe haiitwi IST kule marekani ila ni vile vile na speed ni 240
  10. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na...
  11. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mambo ya kuelekea kijijini hayo lazima uwe full - mashower gel, manukato na kadhalika hutakiwi kumbwelambwela gari lazima iwe full
  12. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mimi ni mwiko kubeba abiria siwei fanya hio kitu. Niko radhi niwe peke yangu one man army. siwezi kubeba mtu safari ndefu simjui. Never.
  13. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mdogo mdogo maana crown mm naijua inamawenge. unanogewa tu kukanyaga. Mm naamsha tarehe 8 Dar -Singida halafu 13 singida -dar ndani ya majesta V8 Gear 8
  14. mwendazake-ndago

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Pale pabaya sana kama sio muangalifu unabutuliwa vibaya sana
Back
Top Bottom