Mmi binafsi najiuliza kwanini serikali inahofia kuwataja wazee hao kama tafiti zote zinawathibitisha kuwa walianza harakat za Uhuru hata kabla ya hayati baba wa taifa,,au kwani kutawagharim nni kuwatambua na kuwapa héshma yao?! Au kama serikali haijui au haizïamini kwéli hizi watumie vyombo...
Miongoni mwa makada maarufu wanaotajwa kulimezea Jimbo la Moshi vijijini ni Wakili msomi Alberto Msando.
Jimbo hili kwasasa linawakilishwa na Anthony Komu Mbunge aliepita kipindi cha mvumo wa aliyekuwa mgombea wa Urais CHADEMA Edward Lowasa.
Kiuhalisi na kiumakini kabisa Komu hana umaarufu ktk...
Mh raisi Dr John Magufuli amebadili siasa za Tanzania toka siasa za majitaka na kuzifanya siasa za kizalendo zinazowanufaisha watanzania moja kwa moja. Hapo awamu iliopita ilijaa mawakala wa siasa na mawakala wa viongozi wakubwa serikalini,walioigeuza siasa kuwa biashara ndipo chimbuko LA...
Wakili msomi Albert Msando kijana msomi na mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuisimania ametawala vinywa vya wananchi Moshi vijijini. Tangu kuchaguliwa mbunge wasasa Antony Komu (CHADEMA) Hakuna maendeleo yoyote yaliowahi kufanyika tangu aingie madarakani.sio tu hajawahi kutembelea wananchi na...
Korogwe, benki ya posta tawi LA korogwe Ndio linavunja record kwa huduma mbovu yani watoa huduma ni kama vibanda vya tgopesa. Nilikwenda kuulizia huduma ya mikopo wa kilimo as advertised by tadb cha kustaajabsha branch manager akanijibu kuwa bado hawajajipanga daaahhh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.