Mkuu binafsi naamin wanaume ndio tunapenda wanawake wanapaswa kuonesha na kufanya UTII ktk ndoa na malez ya familia...
Kama hatii wala kusikia neno lako nakushauri hamisha upendo kwa watoto na tafuta namna ya kumtoa ktk milki yako Amiin amin unaweza japo unapaswa kubumilia maumivu
Vivian ni yule bint alokuwa mwenye nyumba wa roma kule mbagala akapata udhamin wa kampuni ya edna kwenda nje kusoma na kaka yake akapandikizwa figo pale mloganzila.
Husika na kichwa cha habar hapo juu.
Mimi ni mfanyakazi katika taasis binafsi, umri miaka 36, natafuta mpenzi wa kufanya nae maisha awe dini yeyote umri 23 mpaka 45.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.