Kweli hakuna wa kufananisha, labda Marehemu Bryson ambaye alijenga Barabara za Mitaani enzi hizo Ilala Kinondoni n. K. Hata akienda Mkoa wowote anaweza. Tuache siasa, siasa inakondesha afadhari ubaki mshabiki wa mpira unatapata nafuu ya rohoni. TUMPE HAKI YAKE.

Kwa vyama kujiunga inaweza kuwa Usajili, lakini UKAWA nI kiini kiini macho Sabbath huo ni muungano wa Viongozi tu kwa wapigakura bado kila chama kina mgombea wake kuanzia Raisi, Mbunge na hata Diwani. Na kikubwa wanabomolewa na itikadi zao haswa za kidini na ukanda. Ukiamini amini au amini jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.