Afisa msaidizi wa Forodha TRA, Jennifer Mushi afikishwa Mahakamani kwa kumiliki magari 19 na kuishi maisha ya kifahari

Migari yoote hiyo thamani yake ni Tsh 197.6M? Kwani wenye ma VX V8 mawili tu si almost wana utajiri mkubwa almost mara 2 ya huyu Mchaga!?
Tukamate wote wenye maprado na ma lendikruza yale makubwa makubwa.



Wakamatwe sababu wamemiliki hayo magari?

Nyie ndio mnaosababisha masikini waonekane wote wana roho mbaya.
 
Mbona wa aina hiyo ni wengi.Basi scrutiny ya watumishi wote ianze,maana wameibia sana Watanzania.


Nawaambia hivi, vita yenu kwa watumishi wa umma hamtaiweza.

Koote mnazunguka wee! Lakini yote ni chuki kwa sababu watumishi wana maisha mazuri.

Msije mkasahau kuwa marais wote waliopata kutawala nchi hii walishakuwa watumishi wa umma kabla nyadhifa hizo!

Hata mahakimu na majaji wa mahakama zetu msijemkasahau kuwa na wao ni watumishi wa umma vivyo hivyo askari jela,askari polisi, jeshi la wananchi, majasusi wa usalama wa taifa n.k


Hii vita labda mtashinda baada ya kiyama!
 
Awamu hii inabidi tupunguze speed ya kusaka maisha na hata umibahatika ukapiga bingo bana matumizi kama mdomo wa chupa maana vinginevyo Kesi ya kuishi maisha ya kifahari inakusubiri
 
Labda kuna lingine kwa mtu wa firodhani kununua vigari vya sampuli hiyo mbona rahisi tu tena kwa kuokota.
Nilidhani nitaona kati ya hizo 19 labda kumi tandamu au scania semi kumbe vigari vya ovyo tu.
Huko tpa, tra mbona wote mabilionea hakuna mwenye shida.
Nahisi kuna jambo hapo hasa kama huyo dada ni mrembo kamgomea fulani kumvulia chupi.
 
Hivi akija mtanzania anayefanya UN na ni level ya DA mshahara ni us $ 16,0000 kwa mwezi akaanza majumba na akawa na kila kitu itakuwaje? Hii emewafanya wabongo waliofanya kazi nje hawarudi sababu hawaelewi usalama wao wakati wamefanya kazi kihalali. Mtu unarudi nyumbani unaaanza kufuatiliwa.
 
Mbona vigari vyenyewe vya bei chee kabisa? kweli tiliambiwa kuna watu wataishi kama mashetani kumbe hadi watu wa kawaida kabisa!
 
Hujui kwamba huyo Mwanamke ana Papuchi alitumia papuchi yake kupata hayo magari over Hakimu unaswali jingne??
 
Kwa hiyo wewe kumbe tayari una ushahidi kuwa huyo dada katakatisha fedha, duuu!!, I see!!
Sawa, lakini bado hujajibu swali langu, sheria inasemaje?, mtu akamatwe akaelezee mahakamani kapataje pesa au kuwe na ushahidi kuwa katakatisha fedha ndio akamatwe?
Ametumia papuchi yake kutajirika
 
Back
Top Bottom