Recent content by mweka hazina

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Makuzi yetu asilimia kubwa yalibebwa na uoga uliopitiliza na kuonewa(tulikokuita kuheshimu wakubwa),ndio maana Hadi leo watu hawawezi kutetea haki zao za msingi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

    Sasa umemjibu nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nacte saidieni binti zetu kwenye vyuo vyenu vya kati bado wadogo

    Hii mada ina ukweli [emoji817]%
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wakuu chimbo la spear za pikipiki za gharama nafuu kwa kariakoo msaada
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini freemason walimuua Kanumba? Shtukeni hao ni manabii wa freemason sio wa ukweli

    Dah! Ila story nyingine bana sijui hata mnazitoa wapi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Kwa kuongezea weka na urembo wa pikipiki maana unatoka kwa Kasi siku hizi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alifanyaje kudhibiti umeme kukatika?

    Dah! Kwa hiyo umeme haukuwa ukikatika kipindi cha nyuma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuagiza spare za pikipiki

    Wazoefu mko wapi mchangie na wengine tupate japo mwanga kidogo,,ingawa Kuna nyuzi zimezungumzia hii issue
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna cha kujifunza hapa!

    Hiyo nchi inayoruhusu mfalme akawinde peke yake,,,,jina tafadhali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?

    Upo sahihi sana mkuu.
Back
Top Bottom