Recent content by Mwebesa M Augustine

  1. Mwebesa M Augustine

    Bagamoyo university kuna nini mbona ada kubwa sana?

    Chuo chenyewe wamepanga sehemu tatu na hakipo Bagamoyo kipo kawe beach,kinondoni na makao makuu yapo mikocheni b Dar kule Bagamoyo ambako wanatarajia kukijenga bado ni mapori tu hakuna lolote pale wanamipango miingi bila mafanikio yoyote yale, wamiliki wake wapo kimasilahi ni watu binafsi...
  2. Mwebesa M Augustine

    Bagamoyo university kuna nini mbona ada kubwa sana?

    Nakushauri usikichague maana mimi nilikuwa nasoma hapo lakin niliahirisha kwa sababu ada kubwa miundominu mibovu maabara zilizopo ni afadhali na za shule za sekondari so nakushauri kama unajipenda usiende hapo ni majanga matupu
  3. Mwebesa M Augustine

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Mim kwenye choice zangu zinaonesha 0 inamaana gani hapo naomba mwenye uelewa hapo wadau
  4. Mwebesa M Augustine

    Happy birthday Edward Lowassa

    Happy birthday to our prezidaa
  5. Mwebesa M Augustine

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Pia na Bagamoyo ndo Majanga yaleyale nawashauri msichague hivi vyuo no hatariii....!
  6. Mwebesa M Augustine

    Msaada kuhusu ku apply TCU kwa form six ambao hawakwenda kuripoti chuo mwaka jana

    Kama hukwenda chuo inamaana huna registration number, kama huna reg. Numba hujatambulika na tcu kwamba wew ni mwanafunzi qa chuo fulani kama wew c mwanachio ya nin uende tcu wew apply tu upya haina shida kabisa kwa hiyo ondoeni mashaka kinachoangaliwa ni reg: number tu!
  7. Mwebesa M Augustine

    Asilimia 92 ya wanawake wa Misri wamekeketwa "FGM"

    Hiyo n hatari sana kwa hao wanawake maana mmm!
Back
Top Bottom