Recent content by MWAYA

  1. M

    Profesor Mtanzania awa waziri Rwanda,wasomi wanazidi kuikimbia nchi tunabaki hoiii.

    ni mnyarwanda kabisaaa amekaa sana Tanzania kule kagera anamiliki heka kibao za ardhi ameajiri wanyarwanda wenzie weeeeeengi waliokua wanamtunzia mifugo ndiye alikua anawakingia kifua wannyarwanda wengi waliokua wanaishi kagera wasirudishwe kwao. TANZANIA SHAMBA LA BIBI
  2. M

    Kurudi kwa profesa silas lwakabamba nchini rwanda na kupewa uwaziri kunatoa fundisho lolote?

    Huyu profesa alikua hapa TZ tena aliwahi kuwa dean wa udsm, ana ma estate huko kagera ameajiri wanyarwanda wenzie tu. amerudi kwao na kupewa nafasi ya uwaziri wa miundombinu. MMM Kweli Tanzania shamba la bibi
  3. M

    Tanzania funguka macho, mnaendeleza wanyarwanda mwisho wanatumikia nchi zao

    Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA AMEAJIRI WANYARWANDA TUUUUU. Kweli Tanzania shamba la bibi
  4. M

    Usaili costech

    Habari jamani, nauliza HIVI WAMEITA KWENYE usaili COSTECH zile ajira zilitangazwa na utumish ya RESEARCHER na Research Assistant?
Back
Top Bottom