Recent content by MWATANI

  1. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anastahili tuzo ya Mo Ibrahim?

    Salaam Wana JamiiForums, Naanza andiko hili fupi kwa marejeo ya usemi usemao " Myonge Myongeni lakini haki yake mpeni" ni usemi wenye maana Pana kimantiki, Sasa ni miaka miwili ya Rais Samia tangu ashike hatamu ya uongozi wa nchi, amefanya mengi hata ambayo wahafidhina ndani ya CCM na nje ya...
  2. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere aliona mbali, Rais Magufuli anaona mbali zaidi

    Sijui labda nitafiti kwanza, alafu nirejeshe majibu.
  3. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

    Mkuu, hoja ya Paschal inaeleweka na ipo wazi kuwa ni kweli Watanzania wengi wamefurahi ndege kukamatwa, na furaha yao ni matokeo ya pengine kutosikilizwa ushauri wa wadau juu ya hizo ndege na sababu nyinginezo za kisiasa, nafikiri bandiko la P. linaeleweka wala halina uhusiano na unasaba wa...
  4. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unamkumbuka mwandishi huyu?

    Wanabodi nawasalimu kwa heshima kubwa. Jioni ya leo nimetoa maoni yangu kwenye uzi wa Ng'wamapalala, unaosema '' Kwanini wanahabari wazaliiwa wa maeneo ya Kagera huwasumbua watawala nchini'' Kwenye maoni yangu nikasema wapo baadhi ya waandishi wanatoa hoja zao kwa mantiki na mrengo chanya wa...
  5. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanahabari wazaliwa wa maeneo ya Kagera ‘’huwasumbua’’ watawala nchini?

    Misingi yao ya elimu ni matokeo ya ujasiri wa kuhoji na kufanya uchambuzi wa masuala muhimu yanayohusu taifa letu, sio ukorofi wala ufitinishaji bali ni maarifa yao ya kutumia taaluma na weledi kujenga nchi katika dhana ya kuhoji. Umetaja wengi lkn nakuongezea na Deogratias Mutungi ni...
  6. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Ma-DED wapandishwa mabasi kwenda kushangaa reli, wawili wapigwa chini jana, yupo DED wa Mbozi

    Aliyepigwa chini ni ndugu Makwega wa Mbozi na ni Mwanahabari aliyepata kuhudumu TBC Taifa akiendesha kipindi cha habari na Muziki cha saa 12:00 jioni hadi saa moja usiku.
  7. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza noti nyingine mpya na kuzifuta za zamani kutapandisha uchumi?

    Hata Mobutu naye alichapisha noti, na juzi mzee Denis SSasongweso kafyatua manoti mengi tu, ngoja nasi tufyatue manoti pengine itapendeza.
  8. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Clouds 360 waipitia bajeti ya msiba wa Akwilina, wasema ni kubwa watoa pendekezo

    Si vema kuijadili bajeti ya marehemu kulingana na mazingira ya kifo chake, lkn ifahamike kuwa hii ni bajeti elekezi kutoka serikalini, kumekuwepo na vikao vya pande zote mbili serikali na wawakilishi wa familia kuona ni jinsi gani wanaratibu jambo hili kwa busara zenye fidia ndani yake. Media...
  9. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Je, TISS mnawashauri nini Watanzania ikiwemo watumishi wa Serikali hasa baada ya CIA, FBI NSA nk kugutuka?

    Tuibiwe nini sisi, taifa limekosa dira tumewekeza kwenye sera na falsafa mpya za kupoteza mabilioni ya pesa za wanyonge kwa marudio ya chaguzi ndogo kwa kisingizio cha "Democracy". America, China na nchi za Magharibi awana mpango na kudukua mambo yetu, si kwamba awawezi wanaweza sana ila wanajua...
  10. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    real G Musiba najua unachokitafuta najua dhamira yako ya kutafuta cheo kwa gharama yoyote, usijenge hoja kwa ujumla wa sisi watanzania bali jenga hoja kwa sisi wasaka tonge, uliwahi kusema "wamenisahau hata ukurugenzi" Yatosha sasa kutafuta cheo kwa mgongo wa kunajisi katiba, Mr. President...
  11. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Magufuli kutawala kurasa za mbele za magazeti, Je anastahili hata kama hazina impact, au wahariri wanajipendekeza?

    Tunao Wahariri ambao wanajulikana kwa jina la "Butcher Editor" wengi wao ndani ya newsroom wapowapo tu ndo maana wakati mwingine tasnia inaonekana "Mdobwedo" while not kinachoitajika ni kuwapata Wahariri wenye ujuzi, weledi na umakini kwenye taaluma. Ifahamike kuwa Journalism ni Professional...
  12. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

    Tunahitaji kuwa na upinzani imara wenye dira madhubuti ya kupigania maendeleo ya kitaifa kwa nyanja zote ikiwa ni pamoja na uchumi, kubomoa upinzani na kuimalisha chama ili kurudi kwenye enzi za chama kimoja na kudumisha fikra za mwenyekiti si jambo jema kwa dunia ya sasa. Hata hivyo naamini...
  13. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Msekwa asema kilichotokea kwa Mugabe ni kipya

    Mkuu naheshimu maoni yako, lakini nikufahamishe kuwa kosa moja la mwanataaluma wa habari lisikufanye uichukie tasnia nzima ya habari ikiwa pamoja na waandishi wake, tunao waandishi makini, weledi, wasomi na wanaofanya kazi zao kwa utaalamu zaidi, Mkapa si Malaika kuwa kila tusi lake lina...
  14. MWATANI

    JamiiForums Tanzania Political Capitalization: Kufuatia Kupendwa na Wengi na Kumhurumia, Je, Tumuombee Msamaha wa Rais, ili Aachiwe Huru?.

    Sheria ni msumeno, na binadamu wote ni sawa, Hakuna binadamu bora kuliko mwenzake, kilichompata lulu kinaumiza kwa roho ya kawaida lakini kwa mantiki ni haki yake aliyostahili kulingana na hatia aliyokutwa nayo na mahakama. "Eti kuonewa huruma" Kwangu si hoja, wapo wangapi Jela waliofungwa kwa...
Back
Top Bottom