Political Capitalization: Kufuatia Kupendwa na Wengi na Kumhurumia, Je, Tumuombee Msamaha wa Rais, ili Aachiwe Huru?.

mkuu, naomba unihabarishe kwani taarifa za Bongo zinanipita. nani alisema hivyo "Dady is coming"
ac126c781389971bed748cb64c89090d.jpg
323f21bef209dbba535165f5c4f23fd4.jpg

Huyo
 
Hizi picha alivokuwa mdogo, sasa hivi mbona mdada mdatu tu!!

cha kusikitisha alikuwa under 18 wakati ule; sasa sijui kama hakimu alitilia maanani jambo hili kwamba Marehemu alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto mdogo - kosa ambalo kama Marehemu angekuwa hai angelimwa miaka 30 jela.

Nchi za wenzetu, Marehemu anaweza kufunguliwa mashitaka na akafungwa vilevile, sasa hapa kweli sina uhakika kama sheria zetu zinaruhusu.
Alikuwa na miaka 18 alidanganya umri kanumba angekuwa hai wala ata asingekuwa na kesi
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali with a light touch, Kwa ajili ya kitu kinachoitwa, Political Capitalization: Kufuatia Lulu Kupendwa na Wengi Hivyo Wengi Kumhurumia Kufungwa Jela, Jee Tumuombee Msamaha wa Rais?. Akimsamehe, Atapendwa na Wengi, na CCM Pia, Japo Inapendwa, Itapendwa Zaidi?.

Declaration of interest,
Mimi Paskali ni just a human being, kutoka kabila Fulani linaloongoza kwa upendo, hivyo hili ni bandiko la upendo na huruma, ila pia as a human being, nina strengths zangu na weaknesses zangu, miongoni mwa weaknesses zangu, ni kuona watu wakiteseka kwa ukosofu wa haki, na inapotokea watu hao ni wa jinsia fulani, halafu wako namna Fulani fulani, maumivu yanazidi!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningeumia the power of love iitayo agape, kuitawanya kwa raia wote wa nchi yangu, ili watu wote wafuate sharia bila shuruti, na ningefunga magereza yote na kuyageuza development centers, hakuna uhalifu, polisi hawana kazi, magereza hawana kazi, na mahakama hazina kazi!.

Hili lingewezekama, kama Imani ndogo tuu kama punji ya haradali, inahamisha milima, upendo mkubwa kabisa ungeweza, kusiwe na mfungwa yoyote gerezani!.

Jee ni Kweli Wengi Wameguswa na Wanamhurumia?.
Kufuatia msanii Lulu Michael kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, na kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, wengi wa Watanzania wameguswa na hukumu hiyo na kuingiwa huruma kwa kumhurumia Lulu, wakati akitenda kosa hilo, alikuwa ni mtoto mdogo chini ya umri wa miaka 18, na maadam imethibitishwa kuwa aliua bila kukusudia, marehemu ilikuwa ni mpenzi wake, na kifo kimetokea baada ya kutokea ugomvi wa kimapenzi, na tayari aliishakaa mahabusu kwa karibu mwaka, wengi walitegemea Lulu angeeachiwa huru, hivyo kuhukumiwa miaka miwili jela, wanaiona kama ni adhabu kubwa sana.

Hili ni bandiko la kuwafariji, kwa kuwajulisha, kuwa kwa Vile rais Magufuli ni mtu wa watu, kama ni kweli watu wameguswa na hukumu ya Lulu, na miongoni mwao, Magufuli nae kama binadamu akaguswa, kama walivyo watu wengi walioguswa, then rais Magufuli ndie mtu pekee, mwenye uwezo wa kumsamehe Lulu, kwa kumpunguzia kifungo, au hata kumuachia huru, kupitia mamlaka yake ya kutoa kitu kinachoitwa msamaha wa rais, na hili likifanyika, kiukweli kabisa, Magufuli atazikonga nyonyo za Watanzania wengi, tena hili likifanyika, unaweza kushangaa, chama chake cha CCM, kikashinda viti vyote kabisa vya udiwani, katika uchaguzi wa marudio, kwa sababu kwa hali ilivyo, huwaga ni vigumu sana au hakuna uwezekano kwa CCM kushinda kiti chochote kilichokuwa kinashikiliwa na Chadema Kanda ya Kaskazini.

Jee Lulu Amehukumiwa Kwa Haki au Ameonewa?.
Kiukweli ni wale tuu wasiojua hukumu za kuua bila kukusudia huwa zinakuwa za urefu gani, lakini kwa sisi tunaojua, kiukweli Lulu is very fortunate girl, kwanza kwa kupata dhamana kwenye hiyo kesi, wenzake wa kesi za aina hiyo, angekuwa mahabusu hadi leo hukumu iliposomwa.

Na kifungo cha miaka miwili pia kiukweli ni kifungo kidogo sana, ambapo nimemsikia wakili wake kuwa watakata rufaa, then kifungo kitamalizika kabla rufaa haijasikilizwa, kwa sababu ile miezi yote aliyokaa mahabusu, inajumlishwa kwenye kifungo hicho.

Kikawaida katika heshima kwa mhimili wa mahakama, hukumu zote za mahakama hutakiwa kuheshimiwa ziwe ni za haki au laa, lakini kwenye macho ya jamii, haki sio inapaswa kutendeka, bali haki inapaswa kuonekana imetendeka, kwa maoni yangu, haki haukutendeka, kama mahakama ingezingatia hoja hizi, Kifo Cha Kanumba: Ni Uzembe Tuu? Sio Lulu!

Lulu sio tuu alipaswa kuachiwa huru, bali DPP, alipaswa kutoa Nolle siku nyingi na kupewa pole kwa kubakwa kwa kipindi kirefu in the name of love!, na siku ya tukio, Lulu was a victim, ila kwa vile the perpetrator amekufa, then, kibao kikamgeukia the victim kwa sababu she was the one and only na marehemu, na victim huyu kuepuka aibu, hakusema kilichotaka kumkuta, and whatever happened, it happened in self defense!,

wanawake wengi sana wa kiafrika wanabakwa bila kusema, na idadi kubwa Zaidi ni wale wanaobakwa na waume zao, au wapenzi wao!. Mke akifungua kesi ya kubakwa na mumewe, hata haki anaweza kushangaa!. Mtu anayejitetea kwenye self defense, ndio kageuka victim.

Kufuatia Utumbuaji Majipu, Jee Rais Magufuli ni Katili, Sadist , au Mwenye Huruma na Upendo?.
Sababu ya kwanza, kiukweli baadhi ya maamuzi ya rais Magufuli, maneno na facial expressions zake, zinamuonyeshea rais Magufuli kama ni mtu katili fulani, au sadist, kwa jinsi anavyozungumza kuhusu kutumbua majibu, with a smiling face kuonyesha anafurahia utumbuaji majipu. Kitu chenye maumivu makali sana, ni kutumbuliwa jipu, ambako hufanywa bila ganzi.

Mtu akizungumzia kutumbua majipu huku ana smile, kunapelekea kuonekana kama ni mtu katili, sasa ukijumlisha na kuongea kwake kwa ukali kwenye baadhi ya hutuba zake, baadhi ya watu, wanamdhania rais Magufuli ni mtu katili, hili la kuongea kwa ukali, niliwahi kulizungumza hapa.

Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Kuukweli huu ukali wa rais Magufuli, ni ukali tuu wa usoni, lakini mayoni ni mtu mwenye upendo na huruma sana, uthibitisho wa upendo huu na unaonekana kwenye baadhi ya matukio kama haya ambapo akina sisi tulimpongeza, Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...

Hivyo rais Magufuli, sio katili, sio sadist, ila kiukweli anaichukia rushwa na ufisadi kwa dhati ya moyo wake, na anaumizwa jinsi mafisadi na walarushwa, walivyoigeuza Tanzania shamba la bibi, ndio maana anakuwa mkali sana kwa mafisadi na wala rushwa kwa kuwatumbua bila huruma kama mtumbua majipu, but inside, he is very human!.

Kwa Nini Magufuli Anaweza kumsamehe Lulu, Kina Nguza Vicking na Papii Kocha na Wengine ?.
Hawa wote ni wasanii, Lulu ni msanii wa filamu, kina Nguza ni wasanii wa muziki na kuna wengine wengi ambao wako magerezani kwa makosa mbalimbali ambayo hawakutenda, kwa vile tukio Lulu, limetokea wakiwa wao wawili tuu, hivyo aliyebaki hai, ndie anayebebeshwa mizigo, kama Lulu angeshitaki, alianza lini uhusiano na Kanumba, na akiwa na umri gani, then Kanumba angefungwa jela miaka 30 kama kina Babu Seya.

!. Ila kwa issue ya Lulu, hata akiachiliwa huru, hukuna victim muathirika, kwa sababu victim ni mmoja tuu ana ameishatangulia mbele ya haki, lakini kina Nguza, japo kuna victims walioathirika ambao wanaweza wasiielewe serikali yao, muda ambao tayari wamesha save sentences zao, umetosha kama lengo ni mafunzo. Sababu kubwa kabisa ya Lulu kusamehewa, ni kwa sababu ni mtu wa watu, na japo amekutwa na hatia, lakini kiukweli kabisa, hakuua!.

Kifo kimetokea katika ugomvi wa kimapenzi, tena ili kuepuka aibu, kuna vitu Lulu hakuvisema, ili alivyoponyoka, aliponyoka kama alivyozaliwa, hivyo sote tunawajua wanaume wa Kisukuma, wanapokuwa wamelewa pombe, huwa wanawafanya nini wapenzi wao, hivyo Lulu ni wa kuhurumiwa sio wa kuhukumiwa!.

Kiukweli kabisa Tanzania tuna very poor criminal investigators na tukija kwenye homicide ndio kabisa we are almost zero ndio maana hata waliomshambulia Lissu kamwe hawawezi kupatikana, hili nimelisema hapa,

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.,

Hivyo hakuna taarifa ya alcohol consumption ya marehemu kuestablish stability yake, usikute Lulu alimsukuma mlevi, hata Lulu asingemsukuma bado marehemu angeanguka mwenyewe na kilichotokea bado kingetokea!.

Rais Magufuli Akimsamehe Lulu, Kutamsaidia Nini, Kutaisaidia Nini CCM?.
Kwa vile Lulu ni mtu wa watu, na anapendwa na wengi, na hukumu hii imewaumiza wengi, hivyo rais Magufuli akimsamehe Lulu, atajenga upendo kwa watu wote wanaompenda Lulu na wameumizwa na hukumu hii, hivyo upendo wote wa kuachiwa kwa Lulu, utaelekezwa kwa rais Magufuli.

Hakuna kitu chenye nguvu kama Imani, next to Imani, kitu cha pili chenye nguvu sana ni upendo, unatengeneza nguvu kubwa yenye kuweza kufanya mambo makubwa ya ajabu, inaitwa forces of love, hizo forces of love zinabeba nguvu inaitwa powers of love, rais Magufuli anazihitaji sana hizi powers of love kuliko hata anavyohitaji maombi.

Manufaa ya powers of love, ni kujenga upendo mahali kwenye chuki. CCM ni chama kizuri na kimefanya mengi mazuri, lakini licha ya mazuri yote ambayo CCM imeyatenda, bado kuna baadhi ya maeneo, CCM inachukiwa kwa chuki tuu, na haijafanya kosa lolote bali inachukiwa tuu, na hivyo CCM huwa haichaguliwi katika baadhi ya maeneo, na moja ya maeneo haya ni Kanda ya Kaskazini.

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...

Rais Magufuli akifanya matendo ya kuonyesha upendo kama kumpatia Lulu Msamaha wa rais, msamaha huo utajenga upendo hadi kwenye maeneo ambayo CCM inachukiwa, hivyo inaweza kushangaa, CCM ikapendwa ajabu Kanda ya Kaskazini, na katika huu uchaguzi ujao wa madiwani wa marudio, CCM ikayatwaa majimbo yote kabisa ya udiwani katika uchaguzi huu kutokana na kupendwa, vinginevyo katika hali ya kawaida, CCM haiwezi kushinda uchaguzi katika kiti kilichokuwa kinashikiliwa na Chadema Kanda ya Kaskazini, unless mbinu za hali ya juu sana zitumike!.

Mhe. Rais Magufuli, Ukiona Inakupendeza. Please Tumia Human Face Kumsamehe Lulu!.
Sii wengi ambao wanamjua rais Magufuli, kuwa pamoja na ukali wake wote, pia ana human face. Nimewahi kumshuhudia mara kibao, akigawa pesa kwa masikini. Kwenye kuzuia bomoa bomoa nchi nzima, amependekeza human face itumike,

Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza ...

Kama rais Kikwete aliwahi kutumia mamlaka ambayo hakuwa nayo, kuwasamehe wezi wa EPA kwa ahadi ya warudishe walichoiba, na kweli wakasamehewa, na rais Magufuli ameweza kutumia mamlaka asiyonayo kwa kuivunja katiba, kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ya kisiasa, inayohudhuriwa na watu wasio na kazi, ili watu hao wachape kazi, na hili likatekelezwa, rais Magufuli anawezaje kumshindwa kumsamehe Lulu, katika jambo la wazi kabisa ambalo liko chini ya mamlaka yake kihalali?!.

Hitimisho
Wanabodi mnashauri nini kuhusu hili la Lulu, Jee tukaombee msamaha, haka kabinti kasamehewe?, kiukweli ukikaangalia jinsi kalivyo, hebu kaangalie kwenye picha jinsi kalivyo, halafu waimagine mabwana jela wetu na kabinti kama hako, kiukweli kama ni mtu mwenye huruma, lazima tuu utakahurumia haka kabinti, na ingekuwa inaruhusiwa kuzitumia nyumba binafsi kuzigeuza jela, mimi ningejitolea guest wing ya ile nyumba niliopanga, igeuzwa jela, Lulu aje kutumikia kifungo hapo, na mimi nitajitolea kuwa bwana Jela.

Have mercy on her.

Paskali
Rejea ya Kilichotokea siku ya tukio
Kifo Cha Kanumba: Ni Uzembe Tuu? Sio Lulu!.
"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)
Steven Kanumba: Has a Very Touching Story! | JamiiForums ...

View attachment 630191 View attachment 630192 View attachment 630194 View attachment 630196 View attachment 630197 View attachment 630198 View attachment 630199 View attachment 630200 View attachment 630202 View attachment 630204
Mi naona tubadilishe kabisa sheria na katiba ikibidi ili unaloona linafaa lifanyike.
 
Sheria ni msumeno, na binadamu wote ni sawa, Hakuna binadamu bora kuliko mwenzake, kilichompata lulu kinaumiza kwa roho ya kawaida lakini kwa mantiki ni haki yake aliyostahili kulingana na hatia aliyokutwa nayo na mahakama. "Eti kuonewa huruma" Kwangu si hoja, wapo wangapi Jela waliofungwa kwa tuhuma za uongo kama kubaka, kunajisi na wizi kwa sababu waligusa maslahi ya tabaka la wakubwa.

Sasa iweje tumuombee msamaha kwa Rais binti aliyekubali mwenyewe kama muuaji wa bahati mbaya. Mtazamo wangu ni kuacha sheria ichukue mkondo wake na si kuingilia maamuzi ya mahakama na kuonesha umma kilichofanyika ni batili. NB. Urembo, umbo, sura na bashasha kisiwe chanzo cha kukengeusha maamuzi yanayostahili kutolewa kwa mhusika narudia sheria ni msumeno, na hii ndo kazi ya msumeno na meno yake.
 
Japo watu humu huwa wanabeza sana, mambo yameanza kutimia, hii ya kuachiwa kwa Babu Seya ni mwanzo tuu, kuyanyoosha mapito, na kiukweli kifungo cha Lulu, kimesaidia wengi, Lulu atabarikiwa sana, Magufuli atapendwa sana, na hili bandiko pia limesaidia!.

Hungera rais Magufuli kwa Kumuachia Babu Seya na Mwanae, Hongera in advance kwa ajili ya Lulu.

Babu Seya Karibu Uraiani, wimbo wako wa kwanza, uwe Asante Mungu, Asante Magufuli, ndipo utupe maisha ya jela.

Jumapili Njema

Paskali
 
View attachment 630191
23498166_1997253650560437_6655972017600200704_n.jpg

Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali with a light touch, Kwa ajili ya kitu kinachoitwa, Political Capitalization: Kufuatia Lulu Kupendwa na Wengi Hivyo Wengi Kumhurumia Kufungwa Jela, Jee Tumuombee Msamaha wa Rais?. Akimsamehe, Atapendwa na Wengi, na CCM Pia, Japo Inapendwa, Itapendwa Zaidi?.

Declaration of interest,
Mimi Paskali ni just a human being, kutoka kabila Fulani linaloongoza kwa upendo, hivyo hili ni bandiko la upendo na huruma, ila pia as a human being, nina strengths zangu na weaknesses zangu, miongoni mwa weaknesses zangu, ni kuona watu wakiteseka kwa ukosofu wa haki, na inapotokea watu hao ni wa jinsia fulani, halafu wako namna Fulani fulani, maumivu yanazidi!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningeumia the power of love iitayo agape, kuitawanya kwa raia wote wa nchi yangu, ili watu wote wafuate sharia bila shuruti, na ningefunga magereza yote na kuyageuza development centers, hakuna uhalifu, polisi hawana kazi, magereza hawana kazi, na mahakama hazina kazi!.

Hili lingewezekama, kama Imani ndogo tuu kama punji ya haradali, inahamisha milima, upendo mkubwa kabisa ungeweza, kusiwe na mfungwa yoyote gerezani!.

Jee ni Kweli Wengi Wameguswa na Wanamhurumia?.
Kufuatia msanii Lulu Michael kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, na kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, wengi wa Watanzania wameguswa na hukumu hiyo na kuingiwa huruma kwa kumhurumia Lulu, wakati akitenda kosa hilo, alikuwa ni mtoto mdogo chini ya umri wa miaka 18, na maadam imethibitishwa kuwa aliua bila kukusudia, marehemu ilikuwa ni mpenzi wake, na kifo kimetokea baada ya kutokea ugomvi wa kimapenzi, na tayari aliishakaa mahabusu kwa karibu mwaka, wengi walitegemea Lulu angeeachiwa huru, hivyo kuhukumiwa miaka miwili jela, wanaiona kama ni adhabu kubwa sana.

Hili ni bandiko la kuwafariji, kwa kuwajulisha, kuwa kwa Vile rais Magufuli ni mtu wa watu, kama ni kweli watu wameguswa na hukumu ya Lulu, na miongoni mwao, Magufuli nae kama binadamu akaguswa, kama walivyo watu wengi walioguswa, then rais Magufuli ndie mtu pekee, mwenye uwezo wa kumsamehe Lulu, kwa kumpunguzia kifungo, au hata kumuachia huru, kupitia mamlaka yake ya kutoa kitu kinachoitwa msamaha wa rais, na hili likifanyika, kiukweli kabisa, Magufuli atazikonga nyonyo za Watanzania wengi, tena hili likifanyika, unaweza kushangaa, chama chake cha CCM, kikashinda viti vyote kabisa vya udiwani, katika uchaguzi wa marudio, kwa sababu kwa hali ilivyo, huwaga ni vigumu sana au hakuna uwezekano kwa CCM kushinda kiti chochote kilichokuwa kinashikiliwa na Chadema Kanda ya Kaskazini.

Jee Lulu Amehukumiwa Kwa Haki au Ameonewa?.
Kiukweli ni wale tuu wasiojua hukumu za kuua bila kukusudia huwa zinakuwa za urefu gani, lakini kwa sisi tunaojua, kiukweli Lulu is very fortunate girl, kwanza kwa kupata dhamana kwenye hiyo kesi, wenzake wa kesi za aina hiyo, angekuwa mahabusu hadi leo hukumu iliposomwa.

Na kifungo cha miaka miwili pia kiukweli ni kifungo kidogo sana, ambapo nimemsikia wakili wake kuwa watakata rufaa, then kifungo kitamalizika kabla rufaa haijasikilizwa, kwa sababu ile miezi yote aliyokaa mahabusu, inajumlishwa kwenye kifungo hicho.

Kikawaida katika heshima kwa mhimili wa mahakama, hukumu zote za mahakama hutakiwa kuheshimiwa ziwe ni za haki au laa, lakini kwenye macho ya jamii, haki sio inapaswa kutendeka, bali haki inapaswa kuonekana imetendeka, kwa maoni yangu, haki haukutendeka, kama mahakama ingezingatia hoja hizi, Kifo Cha Kanumba: Ni Uzembe Tuu? Sio Lulu!

Lulu sio tuu alipaswa kuachiwa huru, bali DPP, alipaswa kutoa Nolle siku nyingi na kupewa pole kwa kubakwa kwa kipindi kirefu in the name of love!, na siku ya tukio, Lulu was a victim, ila kwa vile the perpetrator amekufa, then, kibao kikamgeukia the victim kwa sababu she was the one and only na marehemu, na victim huyu kuepuka aibu, hakusema kilichotaka kumkuta, and whatever happened, it happened in self defense!,

wanawake wengi sana wa kiafrika wanabakwa bila kusema, na idadi kubwa Zaidi ni wale wanaobakwa na waume zao, au wapenzi wao!. Mke akifungua kesi ya kubakwa na mumewe, hata haki anaweza kushangaa!. Mtu anayejitetea kwenye self defense, ndio kageuka victim.

Kufuatia Utumbuaji Majipu, Jee Rais Magufuli ni Katili, Sadist , au Mwenye Huruma na Upendo?.
Sababu ya kwanza, kiukweli baadhi ya maamuzi ya rais Magufuli, maneno na facial expressions zake, zinamuonyeshea rais Magufuli kama ni mtu katili fulani, au sadist, kwa jinsi anavyozungumza kuhusu kutumbua majibu, with a smiling face kuonyesha anafurahia utumbuaji majipu. Kitu chenye maumivu makali sana, ni kutumbuliwa jipu, ambako hufanywa bila ganzi.

Mtu akizungumzia kutumbua majipu huku ana smile, kunapelekea kuonekana kama ni mtu katili, sasa ukijumlisha na kuongea kwake kwa ukali kwenye baadhi ya hutuba zake, baadhi ya watu, wanamdhania rais Magufuli ni mtu katili, hili la kuongea kwa ukali, niliwahi kulizungumza hapa.

Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Kuukweli huu ukali wa rais Magufuli, ni ukali tuu wa usoni, lakini mayoni ni mtu mwenye upendo na huruma sana, uthibitisho wa upendo huu na unaonekana kwenye baadhi ya matukio kama haya ambapo akina sisi tulimpongeza, Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...

Hivyo rais Magufuli, sio katili, sio sadist, ila kiukweli anaichukia rushwa na ufisadi kwa dhati ya moyo wake, na anaumizwa jinsi mafisadi na walarushwa, walivyoigeuza Tanzania shamba la bibi, ndio maana anakuwa mkali sana kwa mafisadi na wala rushwa kwa kuwatumbua bila huruma kama mtumbua majipu, but inside, he is very human!.

Kwa Nini Magufuli Anaweza kumsamehe Lulu, Kina Nguza Vicking na Papii Kocha na Wengine ?.
Hawa wote ni wasanii, Lulu ni msanii wa filamu, kina Nguza ni wasanii wa muziki na kuna wengine wengi ambao wako magerezani kwa makosa mbalimbali ambayo hawakutenda, kwa vile tukio Lulu, limetokea wakiwa wao wawili tuu, hivyo aliyebaki hai, ndie anayebebeshwa mizigo, kama Lulu angeshitaki, alianza lini uhusiano na Kanumba, na akiwa na umri gani, then Kanumba angefungwa jela miaka 30 kama kina Babu Seya, ila kufuatia Kanumba kupendwa na wengi, watu pia tungemuombea msamaa based on compassion na sio based on guilt verdict, hivyo hata kama weli Lulu is guilt, bado anastahili kuombewa msamaha, kama msamaa tunaomuombea Nguza na Papii Kocha, sio kwa sababu ni watakatifu au walionewa, kosa walitenda, ila wameishaadhibiwa vya kutosha, wakitoka watakuwa ni raia wema warudi kutuburudisha.

Ila kwa issue ya Lulu, hata akiachiliwa huru, hukuna victim muathirika, kwa sababu victim ni mmoja tuu Kanumba, na ameishatangulia mbele ya haki, lakini kina Nguza, japo kuna victims walioathirika ambao wanaweza wasiielewe serikali yao, muda ambao tayari wamesha save sentences zao, umetosha kama lengo ni mafunzo. Sababu kubwa kabisa ya Lulu kusamehewa, ni kwa sababu ni mtu wa watu, na japo amekutwa na hatia, lakini kiukweli kabisa, hakuua!.

Kifo kimetokea katika ugomvi wa kimapenzi, tena ili kuepuka aibu, kuna vitu Lulu hakuvisema, ili alivyoponyoka, aliponyoka kama alivyozaliwa, hivyo sote tunawajua wanaume wa Kisukuma, wanapokuwa wamelewa pombe, huwa wanawafanya nini wapenzi wao, hivyo Lulu ni wa kuhurumiwa sio wa kuhukumiwa!.

Kiukweli kabisa Tanzania tuna very poor criminal investigators na tukija kwenye homicide ndio kabisa we are almost zero ndio maana hata waliomshambulia Lissu kamwe hawawezi kupatikana, hili nimelisema hapa,

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.,

Hivyo hakuna taarifa ya alcohol consumption ya marehemu kuestablish stability yake, usikute Lulu alimsukuma mlevi, hata Lulu asingemsukuma bado marehemu angeanguka mwenyewe na kilichotokea bado kingetokea!.

Rais Magufuli Akimsamehe Lulu, Kutamsaidia Nini, Kutaisaidia Nini CCM?.
Kwa vile Lulu ni mtu wa watu, na anapendwa na wengi, na hukumu hii imewaumiza wengi, hivyo rais Magufuli akimsamehe Lulu, atajenga upendo kwa watu wote wanaompenda Lulu na wameumizwa na hukumu hii, hivyo upendo wote wa kuachiwa kwa Lulu, utaelekezwa kwa rais Magufuli.

Hakuna kitu chenye nguvu kama Imani, next to Imani, kitu cha pili chenye nguvu sana ni upendo, unatengeneza nguvu kubwa yenye kuweza kufanya mambo makubwa ya ajabu, inaitwa forces of love, hizo forces of love zinabeba nguvu inaitwa powers of love, rais Magufuli anazihitaji sana hizi powers of love kuliko hata anavyohitaji maombi.

Manufaa ya powers of love, ni kujenga upendo mahali kwenye chuki. CCM ni chama kizuri na kimefanya mengi mazuri, lakini licha ya mazuri yote ambayo CCM imeyatenda, bado kuna baadhi ya maeneo, CCM inachukiwa kwa chuki tuu, na haijafanya kosa lolote bali inachukiwa tuu, na hivyo CCM huwa haichaguliwi katika baadhi ya maeneo, na moja ya maeneo haya ni Kanda ya Kaskazini.

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...

Rais Magufuli akifanya matendo ya kuonyesha upendo kama kutoa msamaha kwa Nguza na Mwanaye, Papii Kocha, na kumsamehe Lulu kupitia msamaha wa rais, siku ya Uhuru, Desemba 9, msamaha huo utajenga upendo hadi kwenye maeneo ambayo CCM inachukiwa, hivyo inaweza kushangaa, CCM ikapendwa ajabu Kanda ya Kaskazini, na katika huu uchaguzi mkuu ujao wa rais na wabunge, CCM ikayatwaa majimbo yote kabisa yaliyokuwa yameshikwa na vyama vya upinzani kutokana na kupendwa, vinginevyo katika hali ya kawaida, CCM haiwezi kushinda uchaguzi katika kiti kilichokuwa kinashikiliwa na Chadema Kanda ya Kaskazini, unless mbinu za hali ya juu sana zitumike!.

Mhe. Rais Magufuli, Ukiona Inakupendeza. Please Tumia Human Face Kumsamehe Babu Seya na Mwanaye, Kisha Lulu!.
Sii wengi ambao wanamjua rais Magufuli, kuwa pamoja na ukali wake wote, pia ana human face. Nimewahi kumshuhudia mara kibao, akigawa pesa kwa masikini. Kwenye kuzuia bomoa bomoa nchi nzima, amependekeza human face itumike,

Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza ...

Kama rais Kikwete aliwahi kutumia mamlaka ambayo hakuwa nayo, kuwasamehe wezi wa EPA kwa ahadi ya warudishe walichoiba, na kweli wakasamehewa, na rais Magufuli ameweza kutumia mamlaka asiyonayo kwa kuivunja katiba, kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ya kisiasa, inayohudhuriwa na watu wasio na kazi, ili watu hao wachape kazi, na hili likatekelezwa, rais Magufuli anawezaje kumshindwa kumsamehe Lulu, katika jambo la wazi kabisa ambalo liko chini ya mamlaka yake kihalali?!, na kiukweli kabisa, kama rais Magufuli ni Msukuma wa kweli wa chapa Ng'ombe, hawezi kukaacha kabinti kazuri kama ka Lulu, kateseke gerezani, hivyo by now ameishakihurumia na atakitoa gerezani, ila ili asionekane ni rais mwenye upendeleo, kabla Lulu hajasamehewa, ataanza na kuwasamehe kina Nguza na mwanaye, na atatoa msamaha mkubwa kwa wafungwa wengi ili itakapofika zamu ya Lulu, hakuna tena mtu wa kufungua mdomo.
Hivyo manandiko kama haya yanasaidia, huwezi jua, hebu tusubiri Desemba 9!.

Hitimisho
Wanabodi mnashauri nini kuhusu hili la Lulu, Jee tukaombee msamaha, haka kabinti kasamehewe?, kiukweli ukikaangalia jinsi kalivyo, hebu kaangalie kwenye picha jinsi kalivyo, halafu waimagine mabwana jela wetu na kabinti kama hako, kiukweli kama ni mtu mwenye huruma, lazima tuu utakahurumia haka kabinti, na ingekuwa inaruhusiwa kuzitumia nyumba binafsi kuzigeuza kuwa jela, au gereza, mimi ningejitolea guest wing ya ile nyumba niliopanga, igeuzwa kuwa jela, Lulu aje kutumikia kifungo hapo, na mimi nitaachana na kazi ya uandishi wa habari, na nitajitolea kuwa bwana Jela.

Anza na kina Babu Seya, then Have mercy on her.

Paskali
Rejea ya Kilichotokea siku ya tukio
Kifo Cha Kanumba: Ni Uzembe Tuu? Sio Lulu!.
"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)
Steven Kanumba: Has a Very Touching Story! | JamiiForums ...
Kupendwa na wengi au na wewe.Wasukuma bwana mkiona vitu vyeupe vibamia vinanyanyuka
 
Leo ni imetimia miaka 10, toka kifo cha nyota huyu wa Bongo Movies, Steven Kanumba, na mpaka Leo, sio tuu pengo lake halijazibika, bali hajapatikana star mwingine yoyote wa kuvaa viatu vyake vikamfiti.

RIP Steven Kanumba, tutakukumbuka milele!.
Paskali
 
Mmmmh!!!

Napita mimi na haya tu..

Nimewafikiria Watanzania wasio na umaarufu wenye kosa kama la Lulu.. nao wana ndugu pia na waliowaua bahati mbaya nao wana ndugu.
skamooo bibiiii
upooo bibiangu nimekumisssssiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom