Recent content by mwasungo

  1. M

    JamiiForums Tanzania In US Catholic High Schools perfom better than government Schools - Why?

    Discipline ndo msingi wa kila kitu, vijana wa siku hizi wapo tofauti kabisa na zamani huyohuyo Fb,uhusiano wa mapenzi,usanii,mjuaji wa kila kitu yeye, na vyote yeye wapi atakuwa na nidhamu? Maadili kwanza serikali imeshindwa kutupa maadili tuwageukie viongozi wa Dini na wazazi waanze upya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    Sie kabla tujaondoka tuliwaambia mkatubishia eti mtoto wa masikini wakati kwenye serikali iliyopita aliiunga mkono ilihali ilipingwa na wanafunzi wote kabla hajavuliwa Uwaziri na yapo matukio ya wazi yaliyodhihirisha kwa sisi wafuatiliaji wa mambo yasiyoonekana kwa wengi kuwa hafai kwa nafasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta, chui ktk kundi la kondoo.

    Kupigania haki hakujarishi madaraka uliyonayo, KAUMZA wewe mvivu wa kufikiri, na mtu hatari ktk harakat za kuikomboa Tanzania toka kwa mkolooni SISIEMU.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waliokufa Arusha ni SITA

    Watawala huwa hawasemi ukweli daima.
Back
Top Bottom