Nakumbuka miaka ya 90s kulikuwa na kitabu Fulani kilikuwa na chapter inasomeka "Gulio katerero" nilipokuja kujua maana ya katerero huwa najiuliza aliyeandika akikuwa na maana gani?
ok , sorry my naib waziri cdhani kW kiongozi mkubwa wa serikali namna hii unalleta thread hapa ya namna hiyo. kW uelewa wangu kila kitengo kina HRO ambaye ndo anafanya monitoring ya subordinate wrote, how comes we unafunga mageti? where is the chain of command here, angalieni sana mkuu. mambo ya...
Mabadiliko hayae pukiki kwa ss hpa nchini, kilichotoke leo mugumu ni mafuriko ya ajabu katka uwanja wa sokoine hapa mugumu mjin. Uwanja ulifurika balaa ila niwatahadhalishe kuna mtu ametupia picha humu cio ya kweli maana mm nilikuwepo uwanjan hapo. Mabadiliko..... Lowasa! Sasa anaingia Tarime!
Mim mwl idara ya sekondar hapa wilaya ya serengeti, mara natafta wa kubadilishana nae yeye aje huku na mm niende mikoa ya njombe,mbeya na iringa aliye tayar tuwasiliane hapa 0763007066
Jamani naomba msaada kwa anayejua hili, ninahitaji kutumiwa cheti changu kutoka UDSMnaomba ushauri nifanyeje na niko mkoa wa mara. Kama kuna mtu anaufahamu anisaidie namna ya kufanya au kuniunganisha na mtu anayehusika. Asante wakuu
Jamani naomba kuuliza.
Nilikuwa nafuatilia jinsi udom wanavyoita watu kwa ajili ya interview katka college mbalimbali. Cha kushangaza mpaka leo college of Education cjaona, tafadhali wadau mwenye update anijuze.
Naomba kuwasilisha
Mwl nakushauri uende usome computer Engineering su IT ili ufanyiwe re categorization, utaumia bure nimewaona walimu wengi wa sayansi wametka kw njia hiyo
Jamani naomba kuuliza, hivi Mwl aliyejiendeleza na kusoma Master of Education Management and Planning anaweza kupangiwa kazi gan ktk halmashauri anayofanyia kazi? Au anaendelea kufundisha darasani? Ana miaka 6 kazini, hebu wadau nipen msaada hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.