Habarini wana jf, mimi ni mwanachama mpya wa jamvi hili hivyo sina budi kubiga hodi, hodiii wa jf, nilikuwa natembelea blogu mbalimbali lakini mwisho wa siku nikajikuta nimetua hapa, natumai hodi yangu itajibiwa.
Vilevile nina shida naomba nisaidiwe nimekuwa nikiisikia simu aina ya iphone na...