Recent content by mwashalsen

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Acha kusafiria nyota ya David Kafulia, Freeman Mbowe, na Halima Mdee

    Taperi ni lugha gani? Mnafaha ulimaanisha nini.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na dhana ya ulinzi wa viongozi kwa vigezo vya ujinga.

    Tuache Politichi, bila kujali vyama kuna jambo la kujifu nza tusitetee tu. Km ni Kweli walinzi wa viongozi wetu wanalindwa na watu wasio na ujuzi ni Hatari zaidi kwa viongozi na walinzi wetu pia. Fikiria Dr. akiingizwa na kukutwa na hatia ktk hili kipindi hiki. Nchi yetu tunaijua hasa kipindi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kuchukua mafao NSSF

    Naamini watalirekebisha kabla halijawakwaza wengi. Hivi humu watu wao wa Marketing au Public Relations wamo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan

    Tv ya Zanzibar inaonekana na hata hapa naitizama. Ila mnaotumia antena papasi hamuwezi kuipata. Ukishasema Tv Zanzibar ni maalum kwa Mambo ya Zanzibar, haina mambo ya Kigoma pia ujue. Ni Sawa na kusema mbona Tv Arusha haionekani Mtwara? Acheni ujinga mkue.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan

    Pia mjue Zanzibar wao ni Semi Autonomous.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan

    Zanzibar ilikua nchi, walifanya Mapinduzi yao. Katika Mfumo wetu wa Muungano tumebakisha "Serikali ya Mapinduzi". Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Hii ni Shughuli yake. Yapo ya msingi tujielekeze huko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Dini hizi zinatufanya tunamwagana Damu na kuuana wakati zimeletwa na wakoloni na wafanyabiashara ya utumwa shit. Mimi ni Mtanzania, Mtanzania wa dini yoyote akipatikana kihalali ktk uchaguzi huru na wa haki inatoshaaaa. Msitugawe minyang'au nyie.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Kwa mwendo huo Assemblies of God nao Wanataka. Km sio rais basi Upinda.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan

    Maadhimisho ya Mapinduzi mgeni rasmi awe yeye? Kwani enzi za Marais wote akiwemo Mwl. ilikuaje? Spread love not hatrage. Hii ni sherehe ya kitaifa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Hahaaaaa huyu jamaa anaishi wapi. Hebu soma alama za nyakati na tumia kilichopo kati ya masikio yako sio kifuani upande wa kushoto eeeh? Watu wanahasira
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

    Tuheshimu uhuru wa mawazo bila matusi. Kimantiki km unaunga mtu mkono ukamtetea kwa kutoa matusi huko ni kumtetea au De campaigning? Mwishowe tunabandikwa kundi, wale yao matusi tu maadili hawana. Hoja zipo tuzitumie bila matusi kama watu walolelewa na wazazi na kupata mafundisho ya dini
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka - Hii ni Neema Iliyojificha

    Hivi mtoa uzi kakanusha tuhuma dhidi ya huyu mama au anakubali ila anatuambia pamoja na hayo atarudi kwa sababu Watz tu vilaza? Naamini anatuona vilaza. Mdomo ni miongoni mwa vitu vilivyomponza huyu mama.
  13. M

    JamiiForums Tanzania How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

    The English purported to be by brits though! Kwaaaaks
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Kikwete unatoka airport saizi

    Mh. Jamii Forum iliyokua ya watu makini imegeuka platform ya mipasho. Siasa ni utumwa wa kifikra?
Back
Top Bottom