Nina rafiki yangu leo kafikisha umri wa miaka 31.
Sasa amenicheki hapa kuwa nimtumie zawadi ya muamala kwajili ya birthday yake: je hili limekaaje wadau wa JF?
Mtu wa aina hii kijana mwenye nguvu muajiriwa kwa mshahara mzuri anataka zawadi ya birthday?
Kuna usalama kweli hapa?
Kuna routers nyingine ukiwa kwenye eneo ambalo network haipo stable zinazingua sana ila zingine zinaperform vizuri, Sasa waliowahi tumia hii wanasemaje!
Habari wana JF!
Naombeni kwa anaejua font zinazotumika kwenye risiti za EFD,
Katika pitapita za mitandaoni nimeona kuna Font inaitwa Bitmatrix E1; Hii inafanana sana na ile ya kwenye risiti za kielectroniki. Tatizo linakuja hiyo font inauzwa 99usd,
Kwa mwenye font ya aina hiyo au yenye...
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!
Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.