Ndugu wana jamvi, leo hii namaanisha 4.5.2014, jumapili, kutakuwa na mjadala kuhusu rasmu ya katiba. miongoni mwa wageni ni mh. Jussa kutoka CUF, Nape-ccm, bwana mdogo Polepole, nawengineo. Msikose mjadala huo kwani waonekana utakuwa motomoto.
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi.
UKAWA inaundwa na vyama vinavyounga mkono rasimu ya katiba ya serikali tatu iliyowasilishwa bungeni na Mwenyekiti wa...
Sitta aonja shubiri
Apokewa kwa mabango ya serikali 3 Mwanza
Agoma kuendesha harambee ya machinga
04/05/2014
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta, jana alipata wakati mgumu baada...
Sitta aonja shubiri
Apokewa kwa mabango ya serikali 3 Mwanza
Agoma kuendesha harambee ya machinga
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta...
CDM ni chama makini, watu makini na weredi ndio watakaostahimili kubaki ndani ya chama. Watu wote wenye fikra finyu hukurupukia mambo na yakawashinda. Daima kamanda T. Lissu
CDM ni chama makini, watu makini na weredi ndio watakaostahimili kubaki ndani ya chama. Watu wote wenye fikra finyu hukurupukia mambo na yakawashinda. Daima kamanda T. Lissu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.