Usiache kazi bila kuanza kazi,
Mimi usauri wangu fanya kazi hapo Kwa mhindi Kwa jitihada zote lakini huku ukijaribu kutafuta kazi nyingine inayoweza kupatia mda wa ziada pamoja na utulivu wa akili ili uweze kubuni kitu Cha kufanya unqcho kipenda lakini kitakacho kuingizia pesa
yenye sifa kama hizo ambayo mwinuko wake wa bati ni wa kawaida yaan upana gawanya kwa 4 vyumba vyake vya kawaida yaana 2.7by 3 meters, msing wake wakawaida yaan 600 to 800 mm depth unaweza ikachukua tofari 3000 za block bati 65 foot kumi cement mifuko 70 had kuisha mchanga 20meter fundi ujezi...
Kitalaamu ukadiriaje wote huanzia kwenye msingi wanyumba yako hivyo ukitaka nikufanyie hiyo kazi leta raman ya msingi wa nyumba yako yaan structural drawing utapew karatus dogo tu kama hilo hapo chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.