Njopekafarm nunua miche ya nanasi kutoka kwetu ,Rais mstaafu wa Tanzania akivuna zao la nanasi ni moja ya zao lenye msingi nafuu na faida ya juu Eka moja unaweza kupanda miche elfu tano bei ya chini utauza nanasi moja shamba 700 jumla ya mananasi elfu tano utapata 3,500,000 kwa mvuno mmoja pia...