Recent content by mwaraile

  1. mwaraile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa nina miaka mitatu, mama yangu na dada wanadai mtoto niliyezaa hafanani na mimi

    Ww lea mtoto acha bwebwe za hao wanaocma mtoto c wako bas wakuambie ni wanan
  2. mwaraile

    JamiiForums Tanzania Kitisho kikubwa: Kariakoo kuna wachawi kuliko popote

    Pole sana kwa yalyokufika lakini kipmo cha iman yako kwan km unamin yote yawezekana kwa yeye atupiganie hakuna madhara yoyote ww cha kufanya beba silaha ya maombi unashnda vita kiurahisi kuwa jasiri wa kukemea hzo roho chafu
  3. mwaraile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

    Pole xana ndugu yangu make inauma sana lakin hunabudi kupga moyo konde ili uwezi ishi naye lkn mdadis kwa kina kwan c mwaminifu pia kakuweka njia panda sana japo ulipaswa kujua kiZazi hiki si cha miaka ya sitan wao waliamini kutunza bikra ni sifa kwa wazaz versa kwa watoto wa bongo lala wao...
  4. mwaraile

    JamiiForums Tanzania Mussa Alhadi alikuwa akiandaliwa kumrithi Mufti Simba?

    Hiki kiti kitazua mgogoro wanajf km mkianza piga kampen humu
  5. mwaraile

    JamiiForums Tanzania Wilayani Mbozi, Waalimu wachangishwa Tsh 3000/= ya mafuta ya Mwenge

    Hawapaswi kuchangia kwa hlo ni suala la kujtolea km watakuwa hawana hakuna sheria yoyote itakayo wabana
  6. mwaraile

    JamiiForums Tanzania Baraza la Washauri la Wazee CCM: Majina yote ya wagombea yaingie NEC

    Hapo tarehe 12 ndo manjonjo yote yataixha na mpasuko/ anguko la ccm kuanza upya
  7. mwaraile

    JamiiForums Tanzania Vifo vya viongozi vyenye utata

    Chifupa je
  8. mwaraile

    JamiiForums Tanzania BVR Kilosa madudu tupu

    Ndivyo walivyo kilosa kila kitu uwanajfanya wajua kuchakachua
  9. mwaraile

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    R.i.p simba molla akupokeee kwa aman
Back
Top Bottom