Dr Slaa hajaitafuta CHADEMA na wala hajaonba kurudi CHADEMA.
Wazalendo wa kweli Dr Slaa, Adv Mwabukusi, Mdude nk baada ya kuona inchi inaingizwa kwenye mikataba ya kilaghai huku vyama vya siasa vikiwa kimya ndipo waka form hicho kinachoitwa Sauti ya Watanzania.
Lengo ni kuunganisha nguvu za...
MBOWE ni msaliti hilo halitaki elimu ya PHD.
Ni manyumbu tu ndio kawashika akili.
Alituletea aliyemwita fisadi mkuu aje agombee Urais kupitia UKAWA. yaani Umoja wa Katiba ya Wananchi.
Wakati huyo Lowasa hakuwa hata na mpango na hiyo katiba ya wananchi. Alipokatwa CCM akakimbilia UKAWA kwa...
Mimi hao jamaa niligoma kuwaelewa kuanzia ile gia ya angani.
Ni vigeugeu hawaaminiki.
Sasa hivi CHADEMA wanapambana kumlinda Samia kwanguvu zote.
Wafuasi wao 2015 walibatizwa jina la NYUMBU.
Ni kweli kabisa hawana tofauti na NYUMBU.
Ukisikia upuuzi wa CHADEMA ndio huu.
Mmegoma kuungana na sauti ya watanzania kupinga mkataba wa hovyo wabandari na pia kudai katiba mpya.
Kutwa mpo humu kuwashambulia wenzenu personaly. Ambao kiukweli wanacholalamikia ndio madai ya wananchi.
Sijui nyie wenzetu mpo kwa maslahi ya nani?
Hii...
Tunaposema CHADEMA ya Mbowe ipo kwa ajili ya kuilinda CCM ya mafisadi muwe mnatuelewa.
Anachosema Mbowe hajashirikishwa ni kipi?
Kwamba suala la bandari tangu linaanza yeye yupo upande gani?
Mbona CHADEMA hawawi wawazi katika hili?
Au ni gia ya angani nyingine?
Naamini kitaundwa, ila sio rahisi kihivyo maana msajili wa vyama ni mteule wa mwenyekiti wa CCM.
Uchaguzi ujao wazalendo wa kweli wataungana kupambana na hawa wanasiasa wahuni.
Itatumika njia yoyote
Hao CHADEMA umesikia hata wakiongelea mkataba wa DP WORLD au mgao wa umeme?
Tutafute njia nyingine za kupambana na CCM sio kutegemea hawa matapeli, wazee wa kucheza na fursa.
Uchaguzi wa 2015 ulionesha dhahiri jinsi tunavyo chezewa akili na hawa wahuni.
Vyama vya upinzani vilivyopo sasa vyote...
Mazombi km nyie ndio mtaji wa wanasiasa matapeli.
Hakuna upinzani Tanzania wote matapeli tu,
Ndio maana Ccm wanafanya wanavyotaka. Upinzani ulikuwepo angalau 2005-2015.
Huu ndio ukweli anaepinga ni mchawi.
Wananchi wanataka mabadiliko ila vyama vyote vimejaa matapeli ikiwamo CHADEMA.
Wananchi tumetelekezwa!
Ogopa wanasiasa na siasa zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.