Mtume Muhammad (s.a.w) alishasema zama za mwisho uislam utagawanyika madheheb takriban 70 na waislam watakao fanikiwa kuipata pepo ya Allah ni wale watakaoshika Qur'an na sunnah za mtume na maswahaba zake, sasa kwa muislam wa kweli unaemuamini mtume Muhammas(S.A.W.) unapaswa kukubaliana na...
Kama wewe una hali kama la TT unaweza kushinda ‘tatizo la mvulana mzuri’ na kukuza uanaume wa kujiamini na wa kweli unaovutia mapenzi ya kimapenzi, hapa kuna hatua kadhaa anazoweza kuchukua:
1. Kuendeleza Thamani ya Nafsi Zaidi ya Kutegemea Kuthibitishwa na Wengine
- Tambua Thamani za Ndani...
Story ya TT
Kuna huyu mwamba hapa nitamuita kwa jina la TT, story yake imetokea kwa wanaume wengi tu lakini wameshindwa kufunguka kwa wanaume wenzao ili wapate msaada.
"TT anajivunia kuwahudumia wanawake kwa uaminifu na heshima. Anaamini sifa hizi zinamtofautisha na wanaume wengine na zinapaswa...
Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"?
Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa poa sana na mke wake 'HH'
JJ alitoa kipande cha karatasi mfukoni mwake na akaanza kukifungua...
Mimi nimemaliza form six na sasa hivi nataka kusomea biomedical engineering ila sina ufahamu zaidi juu ya hiyo course na ajira zake kwahiyo mwenye ufahamu naomba anielekeze tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.