Recent content by Mwapwani

  1. M

    Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

    Anavyolialia eeh sasa kama una msimamo njia za kumuacha zipo nyingi sana na za kistaarabu acha kumpotezea muda mtoto wa watu kama huna nia nae tena hatolia wala kutoa chozi ila kuwa makini usije ukaruka majivu ukakanyaga moto! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Maisha ya Mtanzania na total lockdown

    Mungu atunusuru na hii lockdown tutakufa wengi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom